Moja kati ya agenda ya maridhiano iwe CCM kurudisha mali zote za umma walizojimilikisha kama viwanja vya mipira na shule za jumuia ya wazazi.
Hili jambo liangaliwe kwa umakini sana maana taifa limekuwa na imbalance. Mimi naomba hili liwe moja ya sera ya maridhiano.
Jumuiya ya Maridhiano ya Mkoa wa Shinyanga imewasihi wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura ifikapo Oktoba 29 mwaka huu, wakisisitiza kuwa ni wajibu wa kila Mtanzania kutimiza haki ya kikatiba ya kuchagua viongozi bora watakaowaletea maendeleo kuanzia ngazi ya kata.
Tamko hilo limetolewa leo...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania, Abdulrazack Amir Juma, amesema kuwa viongozi wa kidini, hususan waliopo kwenye jumuiya za maridhiano, mapadri, wachungaji na masheikh, wameshughulika sana kuhubiri amani na ushirikiano kati ya waumini na viongozi wa kisiasa. “Nafasi yetu kubwa ni...
Wakuu,
Viongozi wa Jumuiya ya Maridhiano na amani Mkoa wa Mtwara, wamesema wanaridhishwa na utu wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na Falsafa ya R4 ambazo ameziasisi.
Aidha, wamesisitiza wananchi kushiriki ipasavyo katika Uchaguzi wa mwaka 2025 huku wakitunza amani na utulivu uliopo nchini...
Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuonesha ukomavu wa kisiasa, huku ikimuomba kwa heshima asamehe kauli za matusi na udhalilishaji zinazotolewa na baadhi ya vijana kutoka nchini Kenya kupitia mitandao ya...
Hawa ndio wanafanya Hasira ya Wananchi juu ya Serikali, CCM na Rais iwe juu Kila siku.
Kila siku Mungu anazidi kuwachanganya ili Watanzania wajue Watekaji na Wauaji wao ni watu gani
Et Jumuiya Hotuba nzima inajadili Vijana wa Kenya !
Hii ni Aibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.