Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne umeanza kufanyika leo nchi nzima huku kukiwa na jumla ya watahiniwa 485,866 waliosajiliwa kufanya mtihani huo kwa mwaka 2019 na kati yao wa shule ni 433,052 na 52,814 wa kujitegemea
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde...