Wanafunzi wa kidato cha 4 waanza mtihani wa taifa leo ukiwa na jumla ya watahiniwa 485,866 nchi nzima

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne umeanza kufanyika leo nchi nzima huku kukiwa na jumla ya watahiniwa 485,866 waliosajiliwa kufanya mtihani huo kwa mwaka 2019 na kati yao wa shule ni 433,052 na 52,814 wa kujitegemea

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde amesema kati ya watahiniwa hao wanaume ni 206,420 sawa na asilimia 47.67 na wanawake 226,632 sawa na asilimia 52.33 huku wanafunzi wenye mahitaji maalumu wakiwa 842

Mwaka 2018 idadi ya watahiniwa wa shule waliosajiliwa walikuwa 427,181 na hivyo kuna ongezeko la jumla ya watahiniwa 5,871 kwa mwaka huu ukilinganisha na mwaka jana

Amewataka wasimamizi wa mitihani, wamiliki wa shule, walimu na wananchi kutojihusisha na vitendo vya udanganyifu katika mtihani huu kwani Serikali haitasita kumchukulia hatua mtu yeyote atakayebainika kujihusisha au kusababisha
 
Mungu awatangulie wafaulu vizuri.

Ila kuna haja ya kutengeneza mfumo wa kuwagundua wanafunzi mapema toka wanapoanza form one 50% ya matokeo yao yatoke uko na 50% zitoke kwenye mtihani wa mwisho ingesaidia kuwa na wanafunzi waliojiandaa muda mrefu kuliko walio wengi uwa wanakomaa wakifika 4m four pia wengine uwa kinafika kipind cha mitihani wakati hawapo vizur kiafya na kisaikolojia hii upelekea kutofanya vizuri mwishoni wakati walikuwa vizuri toka wanaanza form one.
 
Gud idea mkuu
 
Mpira dakika 90 sio kuongoza half time
 
Back
Top Bottom