Mtangazaji na mwanamtandao maarufu Juma Lokole ameibua gumzo kubwa mitandaoni baada ya kuweka wazi mazungumzo yake ya simu na mfanyabiashara pamoja na mbunifu wa mavazi, Rich Mitindo.
Katika mazungumzo hayo, Lokole amemchana Rich Mitindo kuhusiana na kile kinachodaiwa kuwa ni mahusiano yake...
Lokole anadai kuwa Mulky na Wolper wamekuwa wakishushiana maneno mazito huku Isarito akitajwa kuwa kiini cha mvutano huo. Baadhi ya kurasa za burudani pia zimeanza kuripoti madai hayo, hali inayofanya sakata hilo kuendelea kuwa gumzo kwenye mitandao.
Mtangazaji na mwanamitandao maarufu nchini Tanzania, Juma Lokole, kupitia kipindi cha Wasafi FM, ameanika siri nzito na kuthibitisha kuwa mahusiano ya kimapenzi kati ya waundaji maudhui Kiredio na Vee Dollarz yamevunjika rasmi takribani miezi mitatu iliyopita. Lokole ameeleza kuwa amechoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.