jukumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kodi ya simu ni sawa. Kodi ni jukumu la kila Mtanzania

    Malamiki ya kodi ya simu yamekuwa mengi utafikiri jukumu la kidi ni la watu fulani tu. Wakati jumuantifauti za wafanyabiashara zinalia na RA wengine waliuwa wala hawaoni keri hiyo. Sasa kodi nibkwa kila mzalendo, watu wanalalamika. Wengine wanapanga biashara barabarani na hawslipi kodi hata...
  2. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kama askari wanaolinda hifadhi wamegeuka wauaji, basi Bunge libadili Sheria ili wanajeshi wapewe jukumu la kulinda hifadhi zetu

    Kumekuwepo na ongezeko la mauaji ya raia yanayosababishwa na askari wa wanyamapori na wale wanaolinda hifadhi za taifa. Hii siyo picha nzuri na imewafanya wananchi wanaoishi maeneo hayo kuishi kwa hofu kubwa wengine wakipata ulemavu wa maisha kwa sababu ya ukatili wa askari hawa. Serikali...
Back
Top Bottom