joto kali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mirindimo

    Hakuna umeme, hakuna maji na joto kali. Hii mande si mchezo

    TANESCO NA DAWASCO SIJUI DAWASA MTAUA WATU. Kama bi shosti kaamua kutesa watanganyika basi hii yenyewe.
  2. kyagata

    Orodha ya sehemu zenye joto kali sana hapa Tanzania.

    1.Dar 2.Pwani 3.Tanga mjini 4.Ruaha mbuyuni 5.Ifakara 6.Mpanda 7.Dodoma yote 8.Tunduma 9.Himo 10.Bomang'ombe 11.Kia 12.Same 13.Singida yote 14.Shinyanga 15.moshi mjini 16.kyela
  3. R

    Hard disk ya laptop naitumia kwenye TV shida inapata joto kali, natatua vipi hili tatizo ?

    Hard disk ni ya laptop nimeiweka kwenye kasha limeandika Usb 3.0 ila waya wake ulikuwa mfupi, nikaunganisha huo waya na waya mwengine mrefu wa kuchomekea flash na external, waya nao umeandikwa usb 3.0. Shida inakuja hard disk inapata joto kali sana
  4. KING MIDAS

    Unapambanaje na hii hali ya joto kali?

    Joto ni Kali sana jijini Dar es Salaam na hata kwenye baadhi ya mikoa. AC unaweka hadi 16°c lakini inazidiwa na joto, nikafikiria labda imeisha gas, nimeleta mafundi waje wafanye service, wamesema gas IPO ya kutosha lakini bado inaelemewa. Wenzangu mnapambanaje na hili joto, naomba tupeane uzoefu.
  5. Nomadiq

    Unakabilianaje na kipindi hiki cha joto na jua kali?

    Habarini wakuu Natumai kwema. Dah! Joto limezidi ni hatari. Inafikia mpaka unahisi ya harufu ya nyama choma kumbe ni wewe unachomwa jua! Unakabiliana vipi kuhimili msimu huu wa joto. Exception: Kwa wale mliopo sehemu zenye baridi na mvua.
Back
Top Bottom