joseph warioba

Joseph Sinde Warioba (born September 3, 1940) served as Prime Minister of Tanzania from 1985 to 1990. Furthermore, he served concurrently as the country's Vice President. He has also served as a judge on the East African Court of Justice, and as chairman of the Tanzanian Constitutional Review Commission since 2012.
He was born in Bunda, Tanzania. He graduated from the University of East Africa in Dar es Salaam, Tanzania in 1966. From 1966 to 1968, he served as state attorney in Dar es Salaam, and from 1968 to 1970, as solicitor for the City Council. In 1970, he graduated from The Hague Academy of International Law. From 1976 to 1983, he served as the attorney general of Tanzania. From 1983 until his election as prime minister, he served as minister of justice.
Following his tenure as prime minister, he served as a judge on the Hamburg, Germany-based International Tribunal for the Law of the Sea from 1996 to 1999. Furthermore, in 1996, President Benjamin Mkapa appointed him as chairman of the Presidential Commission Against Government Corruption, better known as the Warioba Commission.
Warioba was chosen to lead the Commonwealth Observer Group in the April 2007 Nigerian elections. He gave a positive assessment of the elections, deeming them to be progress while also saying that there were irregularities.Warioba was appointed on November 2016 by the President of Tanzania John Magufuli as the Chancellor of Sokoine University of Agriculture in Morogoro, Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    Butiku: Mwenzetu anaburuzwa kwenye basi, tunabung’aa tu, hatusemi anapelekwa wapi?

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mtu ni mahakama. Aliongeza kwamba, “Leo mtu anaingia kwenye basi, anatolewa nje ya basi, wote tunatazama tu. Sisi ni raia, na wote tuna wajibu wa kulinda...
  2. Cute Wife

    PostGE2025 Jaji Warioba: Imekuwa kawaida Jaji Mkuu na Spika kuhudhuria vikao vya Rais. Ni kama utaratibu wa kidikteta kuwaona wanakuwa washauri wa Rais

    Wakuu, Jaji Warioba ameendelea kuonyesha busara zake. Kama mpaka Spika na Bunge lake wanatoa tuzo kwa Rais, kusifia utendaji wake bora, chombo hicho kitakuwa na uhuru? Jaji Mkuu na Spika kutwa wapo kwenye vikao vya Rais, utasema mihimili hii inajitegemea? Anasema walitoa mapendekezo mazuri...
  3. Chachu Ombara

    PostGE2025 Jaji Warioba: Bunge la 12 lilikuwa dhaifu kuliko yote yaliyopita. Walikuwa Machawa, wanataja Rais kuliko mambo yao muhimu. Hili pia litakuwa dhaifu

    Akihojiwa na Gazeti la Jamhuri, Waziri Mkuu Mstaafu/Makamu wa Rais na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mstaafu, Jaji Sinde Warioba amesema Bunge la 12 lilikuwa ni bunge dhaifu kwelikweli kuliko mabunge ambayo tuliwahi kuwa nayo Tanzania. Amebainisha kuwa lilikuwa ni bunge lililojaa uchawa na...
  4. W

    PostGE2025 Mchungaji Mashimo ahoji, Jaji Warioba amepata wapi takwimu za waliofariki?

    Wakuu baada ya Jaji Warioba kueleza kuwa watu waliofariki Oktoba wakati wa maandamano ni wengi kuliko waliofariki kwenye vita ya Kagera Mchungaji Daudi Mashimo ameibuka na kohoji ni wapi Jaji Warioba alipozipata takwimu hizo? "Watu waliokufa mpaka sasa Tanzania hakuna mwenye takwimu kamili...
  5. W

    PostGE2025 Jaji Warioba: Kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya vyombo vya usalama

    Akizungumza na Jamhuri TV Jaji Mkuu Mstaafu, Joseph Warioba ameeleza kuwa alionya jeshi kuhusishwa na siasa na sasa matokeo yake yanaonekana ni kuwepo kwa mgawanyiko ndani ya vyombo vya usalama. "Nikasema tukihusisha vyombo vya ulinzi na usalama katika siasa tutapata matatizo na specifically...
  6. Waufukweni

    PostGE2025 Jaji Warioba: Vyombo vya Usalama vilijiandaa kwa bunduki na risasi? Kwasababu ndiyo wametumia zaidi!

    Akizungumza kuhusu suala hilo, Warioba amesema tathmini ya matumizi ya nguvu inapaswa kuangaliwa kwa uhalisia, hususan kwa kuzingatia idadi ya vifo vilivyotokea. Ameeleza kuwa maandamano yamesababisha vifo vingi, jambo linalozua maswali kuhusu aina ya maandalizi yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi...
  7. S

    Samia katika hotuba yake, amepuuza madai ya CHADEMA, maoni ya Kanisa katoliki na ushauri wa PM mstaafu jaji Joseph Warioba. Tunatokaje hapa?

    Kuyapuuza makundi haya mawili (CHADEMA na wakatoliki) pamoja na waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Warioba, ni wazi kuwa taifa linaenda kigawanyika mapande mapande Mapande haya yakianza kuhasimiana na uhasama ukakomaa, tutaingia kwenye shimo ambalo hatutaweza kuondoka humo tena. Kufuatia hotuba...
  8. Papaa Mobimba

    PreGE2025 Jaji Warioba: Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri Bashungwa kutoa maoni kesi inayomkabili Lissu inaweza kutoa taswira mbaya kwa Serikali

    Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu, Jaji Joseph Warioba akitoa maoni katika kongamano la kitaifa kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025 lililoandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), amesema kwamba hatua ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent...
  9. Waufukweni

    Jaji Warioba afunguka kasoro za Uchaguzi Serikali za Mitaa, atahadharisha vyombo vya usalama kujihusisha na Siasa

    Waziri Mkuu na Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba anazungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, huhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa https://www.youtube.com/watch?v=DRuPxvMW3Fk Mchakato tulioumaliza sasa hivi (Uchaguzi wa Serikali za Mitaa) yametokea yale yale ya...
  10. Gabeji

    Mzalendo namba moja, aliyebaki Tanzania ni mzee Jaji Joseph Warioba, Watanzania wanakutegemea sana. Uishi miaka mingi

    Mzee tunakuombea kwa Mungu uishi maisha marefu, uzalendo wako sisi watanzania tunauona. Usichoke kusema na kukemea na kushauri viongozi wetu hawa ambao wengi wao wanajua kujaza matumbo yao, hawapo kimasilai zaidi ya inchi. Mzee wetu wewe ndio uliobaki ndani ya chaa cha CCM mwenyewe uthubutu...
  11. B

    Jaji Warioba: Viongozi na wanahabari acheni uchawa mnaumiza wananchi

    Akizungumza mbele ya Media Council of Tanzania, waziri mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba Ninatazama bunge la Dodoma, imekuwa fasheni kila mbunge kuanza mchango wake wa hoja kwa kutaja na kumsifia rais. Vyombo vya habari kwa nyakati ya sasa hivi badala ya kutoa habari vimegeuka kuwa...
  12. U

    Kuhusu Muungano: Hawa hapa Jaji Joseph Warioba, Prof. Palamagamba Kabudi (CCM) na Freeman Mbowe, Tundu Lissu (CHADEMA). Tunakwama wapi kuamua?

    ==Makala hii kwa njia ya video imeletwa kwenu kwa hisani ya SK Media Online TV na Ansbert Ngurumo== Jaji Joseph Sinde Warioba (CCM): Wakati wote msimamo wake uko very consistent kuhusu muungano wa Tanganyika & Zanzibar wa mwaka 1964 kuwa suluhu yake ni serikali tatu ya muungano, Tanganyika na...
  13. I

    Farhia Middle leo amekwama kumuondoa Jaji Warioba katika mada ya Muungano

    Farhia Middle katika kipindi cha Dakika 45 ITV alikuwa anamuhoji Warioba kuhusu miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Katika mahojiano hayo Farhia alijitahidi sana kumuondoa katika hoja ya msingi na kujaribu kuingiza mambo ya katiba na mengine yaliyokuwa nje ya mada. Lakini Mzee...
  14. J

    Mzee Warioba: Wabunge huchaguliwa kwa misingi ya Ukabila na Bahasha

    Jaji Warioba amesema Siasa za Tanzania zinaendeshwa mikanda, kikabila na kidini na hili liko wazi kabisa Warioba amesema mfano rahisi ni Wabunge wa Bunge la JMT ambao huenda kugombea vijijini kwao ili wachaguliwe na watu wa makabila yao wakipozwa na " Bahasha" Source ITV habari
  15. Mohamed Said

    Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika: Salim Ahmed Salim na Joseph Warioba sakata la OIC na IAO 1993

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: SALIM AHMED SALIM NA JOSEPH WARIOBA SAKATA LA OIC NA IAO 1993 Picha hiyo ya Salim Ahmed Salim na Joseph Warioba niliwapiga mwaka wa 2017 nyumbani kwa Kleist Sykes, Kawe Beach siku ya mazishi yake baada ya kuwaomba ruhusa. Leo katika kupita Maktaba...
  16. Richard

    Mzee Ally Hassan Mwinyi pekee alijaribu, alivunja Baraza la Mawaziri la Muungano mwaka 1990 alipoona kuna shida mahala

    Tarehe 13 mwezi August mwaka 1990 magazeti yote ya Tanzania yalikuwa na vichwa vya habari vilivyohusu kujiuzulu kwa baraza la mawaziri jana yake yaani tarehe 12. Taarifa hizo zilisema kuwa katika kikao cha baraza la mawaziri kilichoongozwa na Rais mzee Ally Hassan Mwinyi aliwaambia mawaziri...
  17. BAK

    New constitution to be rejected?

    By Katare Mbashiru, Elisha Magolanga In Summary Taking into account irregularities during the election of constitutional assembly members...it is clear that the country won't get the Constitution that will take it to the next level. Dar es Salaam. Civil societies and political parties are...
Back
Top Bottom