joseph kusaga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Joseph Kusaga wa Clouds media okoa jahazi

    Kuna Kila sababu mkurugenzi wa Clouds media Bwana Kusaga kumuokoa Civilian-Coin kwa kuinua Ngoma zake katika station zake. For Promo only. https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=WFtATkgwuApVX0J3 Katika hali ya kawaida ikimpendeza Kusaga kufanya hivyo. Kumuokoa Msanii Civilian-Coin anayeishi wilayani...
  2. JamiiForums Tanzania Kusaga: Nilimpigia Tido Simu kuhusu Ithibati, nikamwambia Mtu wa Miaka 20 kwenye Broadcasting unakuja kumlinganisha na Mhitimu Mpya?

    Mkurugenzi Mtendaji na Mwanzilishi wa Clouds Media Group Joseph Kusaga akizungumza kupitia M&S PODCAST amesema; "Mimi kuna wakati nilikaa, bwana siyo siri, mpaka nikampigia simu Tido nikamwambia 'wakati ule wanakuja kuweka sijui mambo ya watu ambao hawaja... ithibati sijui nini,' nikamwambia...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Kusaga: Mwaka 2025, Mama ndiye Rais wetu

    Wakuu Joseph Kusaga, Mkurugenzi Mtendaji Clouds Media Group akizungumza kwenye tukio la Uzinduzi wa Malkia wa Nguvu amesema "Huu ni mwaka tunakwenda kwenye uchaguzi na uchaguzi wetu tumeshasema mama ndiye Rais wetu. Mimi Sina Chama ndio maadili ya shughuli ninayofanya lakini mama amepewa...
  4. JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Mtoto wa Dandu, Joseph Kusaga na Kinjekitile Ngombare Mwiru

    Mastaa walipokutana miaka ya mwanzoni mwa 2000, Mtoto wa Dandu hapo alikuwa star sana, bahati mbaya alifariki kwa ajali ya gari.
  5. JamiiForums Tanzania Nampongeza Joseph Kusaga kwa kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Chadema

    Nimekutana na Joseph Kusaga kwenye Kolido za Ukumbi wa Mlimani City hadi nimeshangaa Katika Nchi ya kutekana na kubambikiwa kodi kama hii inawezekanaje Mfanyabiashara kama huyu kujitokeza kwenye Mkutano wa CHADEMA? Nafahamu kwamba amepewa mwaliko , lakini Mwaliko kama huo wamepewa wengi mno...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Joseph Kusaga aikana Wasafi Media

    Mkurugenzi wa Clouds media group, Joseph Kusaga amethibitisha kutokuwa na Ubia wowote katika Wasafi media, ameeleza hayo katika mahojiano yake na Clouds, Kusaga ameeleza kuwa hana shea yoyete Wasafi media bali yeye ni kama baba na mshauri kwa Mkurugenzi wa Wasafi media ambae ni Nasib Abdul...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…