john nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary and Vice President candidate for Tanzania for election to be held in October 2025. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    Kama Samia alishinda Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa 98%, ni wazi Nchimbi atashinda kwa 100% uchaguzi mkuu wa 2030

    Kwasababu, ni vizuri kuyaeleza haya mambo mapema ili kuepusha suprise amabazo zinaweza kuleta madhara kwa baadhi ya wanasiasa hasa wa upinzani ambao daima huangukia pua kwa kutegemea public sympathy votes. Katika uchaguzi mkuu huru, wa haki na uwazi uliofanyika mapema Oct.29,2025, mgombea urais...
  2. Tlaatlaah

    Maoni: Huenda Dkt. John Nchimbi akawa ndie makamu wa Rais bora zaidi Tanzania tangu uhuru

    Ni mwajibikaji mstahimilivu sana, msikivu asie na papara na mwenye uwezo mkubwa mno wa kujidhibiti kikamilifu hususani kisiasa licha ya kua na ushawishi na uwezo mkubwa zaidi kisiasa. Daima anahakikisha kwamba hafanyi lolote lile lililo nje ya wajibu wake wa kikatiba kama principal assistant of...
  3. USSR

    GE2025 Kishindo cha Balozi Dkt Emanueli John Nchimbi na Eng Ezra John Chiwelesa kinasubiliwa kwa hamu kubwa Biharamulo 6/9/2025

    Wanabiharamulo na wananchi wote wa Mkoa wa Kagera mnaalikwa kushiriki kwa wingi katika mkutano mkubwa wa hadhara tarehe 6/9/2025 katika Uwanja wa Mpira wa CCM Biharamulo Mjini. Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emanueli John Nchimbi, atapanda jukwaani...
  4. K

    GE2025 John John Nchimbi achukua fomu ya Ubunge, atoa ahadi ya kushirikiana na watia nia wote kuijenga Nyasa

    Mapema leo Agosti 26, 2025 mgombea Ubunge Jimbo la Nyasa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) John John Nchimbi amefika mbele ya Ofisi ya msimamizi wa Uchaguzi Jimbo ambapo mara baada ya kujitambulisha kwa barua kutoka tume huru ya Uchaguzi alikabidhiwa rasmi fomu na ndugu Ausi Mkwanda Limia...
  5. Atlast nimempata

    GE2025 Unajua nini kuhusu Dr. Emmanuel John Nchimbi?

    Dr. Emmanuel Nchimbi amewahi kushika nafasi mbalimbali za ajira na uongozi, nyingi zikiwa ndani ya serikali na chama. Mpangilio wake wa kazi unaweza kuonekana hivi: Ajira na Nafasi Alizoshika 1. Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini – (2005–2015) Alichaguliwa kupitia CCM na kushiriki kikamilifu...
  6. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 John Nchimbi aongoza kura za maoni Jimbo la Nyasa

    Aliyekua Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, John John Nchimbi ameongoza kura za maoni Jimbo la Nyasa baada ya kupata kura 9,157 kati ya kura 10,695 zilizopigwa akifuatiwa kwa mbali na aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Stellah Manyanya aliyepata kura (548).
  7. A

    Makosa ya Makamu Mwenyekiti CCM na Katibu Mkuu (J.Malecela, Horace Kolimba) kushindwa kusimamia Haki za Bara ni Sawa na John Nchimbi, Mpango na Kassim

    Itakumbukwa huko nyuma Marehemu Ali H.Mwinyi Raisi aliingiza nchi OIC kinyume cha Katiba , ikapelekea G55 , na mwishowe Mwl aliandika kitabu , uongozi na hatima ya Tanzania na kupelekea J.M Malecela, aliyekubali kufuata ya Mwinyi, kwa Matamanio ya kurithi kiti, Chama kumpotezea, na Horace...
  8. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, John Nchimbi, achukua fomu kuwania Ubunge wa Jimbo la Nyasa

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, John John Nchimbi, amechukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Nyasa. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Katika Bunge la 12, Jimbo la Nyasa lilikuwa linawakilishwa na Mhandisi Stella Manyanya.
Back
Top Bottom