john mkunda

Jacob John Mkunda is a Tanzanian military officer who currently serves as Chief of the Tanzanian People's Defence Force since 30 June 2022.

View More On Wikipedia.org
  1. stakehigh

    PostGE2025 Appreciation post kwako CDF Jacob John Mkunda

    Jacob John Mkunda is a Tanzanian military officer who currently serves as Chief of the Tanzanian People's Defence Force since 30 June 2022. Early life Mkunda attended the Ruvu Secondary School, where he played on the football team and was involved in student government.[1] Career In February...
  2. Ponjoro wa Kinondoni

    PostGE2025 Jenerali Jacob John Mkunda Hafai Hata Kuwa Mkuu wa Sungusungu

    Nadhani baada ya kifo cha Rais Magufuli, mrithi wake alitafuta jenerali dhaifu zaidi jeshini ili ampe nafasi ya ukuu wa majeshi ndipo alipomteua ndugu Jacob John Mkunda mzaliwa wa Morogoro na kumpa jukumu hilo kubwa kuliko uwezo wake. Huyu bwana amejikuta akitumika kulinda maslahi ya dola na...
  3. DuaZaMama

    Jenerali Mkunda Ampongeza na Kumpandisha Cheo kuwa Sajinitaji Simbu Baada ya Ushindi wa Medali ya Dhahabu

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda amempongeza Sajini Alphonce Simbu kwa ushindi wa medali ya dhahabu katika Mashindano ya Mbio za Marathon ya Dunia Kilomita 42, zilizofanyika Tokyo Japan. Pamoja na pongezi hizo, Jenerali Mkunda amempandisha cheo kutoka Sajini kuwa Sajinitaji...
Back
Top Bottom