john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Lissu atashinda Uchaguzi hilo liko wazi na halipingiki

    John Heche amesema kuwa Tundu Lissu ana nafasi kubwa ya kushinda Uchaguzi wa Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa, akisisitiza "hilo liko wazo na halipingiki" Licha ya kumuunga mkono Tundu Lissu, John Heche alichukua fomu ya kugombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Huyu mama hawezi kushinda uchaguzi Lissu akiwa mgombea na sisi tukiongoza chama sababu ni mwanamke, Mzanzibar na hana hoja

    Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine. "Cha kwanza ni kwamba huyu Mama hawezi kushinda uchaguzi Lissu akiwa mgombea, wala sisi tukikiwa tunaongoza Chama. Kwasababu...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Cyprian Musiba: Muunganiko wa Heche na Lissu itatupa tabu CCM, Mbowe sio mgumu

    Mwanaharakati huru Cyprian Musiba akitoa maoni yake kuhusiana na uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). "Freeman Mbowe sio tough (mgumu) vile, sababu Mbowe mnaweza mkazungumza, Wenje mnaweza mkazungumza na mambo yakaenda na mkapeleka nchi yenu mbele." "Lakini wale jamaa...
  4. JamiiForums Tanzania Picha: Lissu akisalimiana na Heche

    Mh. Tundu Lissu akisalimiana na Mh. John Heche leo kwenye kikao cha Kamati kuu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: John Heche adaiwa kukiuka kanuni za uchaguzi CHADEMA, hatarini kuenguliwa

    John Heche mgombea wa nafasi ya Makamo Mwenyekiti Chadema anadaiwa kuvunja kanuni za uchaguzi ndani ya chama hicho. Akitangaza kugombea nafasi hiyo tarehe 5/1/25 John Heche akiwa na walioitwa wafuasi wake alijitangaza yeye ni mgombea Mwenza wa Tundu Lissu na kuwataka wanachama wawachague wao...
  6. JamiiForums Tanzania Heche alishindwa na Esther Matiko nafasi ya Mwenyekiti Kanda ya Serengeti

    Heshima sana Wanajamvi, Mheshimiwa Heche anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa,hii ni nafasi ya pili kubwa ndani ya CHADEMA. Uchaguzi wa Kanda ya Serengeti nafasi ya Mwenyekiti ilishindaniwa na Bibie Easter Matiko (Covid 19) na Heche. Bibie Matiko (Covid 19) alimshinda kwa mbali sana...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa Heche humuoni Tundu Lissu, tofauti ni kubwa. Siioni Chadema ya Lissu/Heche ikidumu

    Nimetenga muda sana kufuatilia hotuba ya John Heche akıtangaza nia ya kugombea umakamu mwenyekiti wa CHADEMA. Nimemsikiliza kwa makini Tundu Antipas Lisu (TAL) na kisha Ezeckiel Dibojo Wenje kabla ya Heche kuna mambo kadhaa yanahitaji jicho na fikra tunduizi. Mosi, ukimsikiliza Heche, mbali na...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu

    Kiukweli kabisa hata kwa macho ya nyama tu, John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu mathalani kuwa makamu mwenyekiti wa chadema Taifa. Si mtaratibu wala mstaarabu mwenye subra, ni mtu wa vurugu na fujo, huenda ni zaidi ya kelele na mdomo wa...
  9. JamiiForums Tanzania Hakuna mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA Taifa nje ya Tarime anaweza kumpigia kura John Heche nafasi ya Makamu Mwenyekiti

    Heche anajulikana kwa ubinafsi, huku hekima na busara vikimpitia pembeni kama ilivyo kwa Lissu. Lakini pia ni Heche ni muoga sana field ukilinganisha na majigambo yake kwenye mikutano au press. Ana maadui wengi zaidi chadema sambamba na Tundu Lissu anaeona kila mjumbe wa mkutano mkuu chadema au...
  10. JamiiForums Tanzania Heche: Mgombea wa Msumbiji alikuja Tanzania kujifunza wizi wa Kura

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche akizungumza kwenye mkutano na wanahabari tarehe 5 Januari, 2024 katika ukumbi wa Nyakahoja uliopo jirani kabisa na ofisi za Halmashauri ya Jiji la Mwanza, mkoani Mwanza amasema: "Rais wa Msumbiji juzi alikuwa hapa kujifunza kabla ya uchaguzi jinsi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Mdau amuuliza John Heche: Unataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?

    Kuna mdau kwenye mtandao wa X anamuuliza John Heche anataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani? Anaendelea kuanika "Hakuna asiefahamu kuwa wewe ndiye Msimamizi wa miradi yote ya Dotto Biteko ikiwemo migodi yake ya Madini".
  12. JamiiForums Tanzania John Heche: CHADEMA tumefika hapa tulipo (kwenye mtanziko) kwa sababu ya Wenje

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche, amemshutumu Ezekia Wenje, akidai kwamba hali ya sasa ya chama imechangiwa na hatua zake. Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA Akizungumza na wanahabari katika mkutano uliofanyika leo, Jumapili Januari 5, 2024, katika...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Nitamuunga Mkono Tundu Lissu, na nitagombea Umakamu Mwenyekiti CHADEMA

    Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama. Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanza: Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, John Wegesa Heche achukua fomu ya kugombea Umakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa'

    == https://www.youtube.com/live/N5uOf6VW-OA?si=oguOArFN95aS-bTR Hatimaye Mwamba mwingine wa siasa toka CHADEMA Mhe John Wegesa Heche anaunguruma muda huu kupitia wanahabari wa nje na ndani ya Tanzania, Huenda Mhe John Heche akatangaza kumkabili vikali Ezekiel Wenje kwani tayari...
  15. JamiiForums Tanzania John Heche aitisha press conference tarehe 05/01/2025

    John Heche anategemea kutema cheche 05/01/2025, saa tano asubuhi. Press conference hii itakuwa live kupitia vyombo mbali mbali vya habari. Uamuzi huo wa kuitisha press conference umeonekana kuungwa mkono na Godbless Lema kupitia mtandao wa X. Soma zaidi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Lissu, Heche na Lema mnataka mtumie "ulipo tupo"? Mnaenda kujimaliza kisiasa

    Wakati maalim seif aliposhindwa vita vya kisiasa na Lpumba alitumia msemo huu, "shusha Tanga, pandisha Tanga" "ulipo tupo" Hili alifanikiwa na kumwachia jengo tupu Lipumba. Leo Zanzibar yote cuf imekufa na ACT ndio inayoonekana. Hii kwa sababu Maalim ni gwiji la siasa, amesomea political...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanza: John Heche kuzungumza na Waandishi wa Habari Januari 5, 2025

    Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema, iliyosambazwa kote Duniani. Na kwamba Mkutano huo utafanyika huko Mwanza Nchini Tanzania Haijajulikana sababu ya Mkutano huo wala ambacho kitazungumzwa. Zaidi angalia hapa
  18. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ijayo chini ya Lissu: Godbless Lema, Makamu upande wa Bara; John Heche, Katibu Mkuu

    Baada ya John Heche kuonyesha kumuunga mkono Lissu na Godbless Lema kuonyesha nia ya kugombea na kumuunga umakamu, huu ndio mtazamo wangu wa itavyokuwa CHADEMA chini ya Lissu iwapo Lissu atashinda. Imeisha hiyo.
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche kumuunga mkono Lissu asema Lissu ni mkweli, muwazi na muadilifu sana

    == Mhe John Heche anasema yeye waziwazi anamuunga mkono Mhe Tundu Lissu kwa sababu ni mtu mkweli sana ni muadilifu sana na anachukia rushwa kwa moyo na nguvu zake zote. Mhe John Heche ilitarajiwa na wengi kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa lakini baada ya Mhe Tundu...
  20. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watu makini mlioko CHADEMA mchukulieni Heche fomu ya Makamu M/Kiti Taifa aungane Lissu kwa mabadiliko ndai

    INGAwa Mwenye kiti Mbowe amejitahidi kuzima watu makini kwa muda mrefu ili abaki yeye peke yake lakini bado naamini wapo watu makini Nashauri wajitokeze watu makini NDANI ya chadema wamchukulie Heche fomu ya makamu Mbowe bila aibu anataka kutuaminisha kwamba Chadema inamtegemea yeye peke yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…