jobs in tanzania


  1. Manezra

    INTERNSHIP OPPORTUNITY FOR PUBLIC RELATIONS & MARKETING NEW GRADUATES

    Send your application to: application@uti.ac.tz
  2. Ally Msangi

    Nafasi za kazi 90 kwenye Taasisi ya Benjamin William Mkapa

    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Benjamin William Mkapa, inatekeleza Mradi wa Kuimarisha Mifumo Endelevu ya Afya (RSSH) kupitia ufadhili wa Mfuko wa Dunia wa...
Top