jnia

Julius Nyerere International Airport (IATA: DAR, ICAO: HTDA) is the international airport of Dar es Salaam, the largest city in Tanzania. It is located approximately 12 kilometres (7.5 mi) southwest of the city centre. The airport has flights to destinations in Africa, Asia, Europe, and the Middle East. It is named after Julius Nyerere, the nation's first president.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Zanzibar yaizidi JNIA kwa idadi ya wageni wanaoingia nchini

    Uwanja ndege wa AAKIA mwaka 2021 ulipokea wageni wa kimataifa 732,000 ukifuatiwa na JNIA uliopokea wageni 604,000 wa kimataifa, ikiwa ni tofauti ya wageni 128,000. Ripoti ya takwimu za kitaifa (Tanzania in figures 2021) inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), inaonyesha kuwa uwanja huo...
  2. JamiiForums Tanzania Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, ningependa kupark gari JNIA ili nikirudi niichukue

    Habari wakuu, kuna yeyote anayefahamu utaratibu na gharama za kufuata ili kupata long term parking katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA). Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, na ningependa kupark gari pale ili nikirudi niichukue.
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania waandamana katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani

    Baadhi ya Watanzania wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania Nchini #Marekani na kufanya maandamano wakiwasilisha madai mbalimbali. Baadhi ya madai yao waliyoandika kwenye mabango yao ni Mabadiliko ya Katiba, kuachiwa huru kwa Wakili Peter Madeleka pamoja na kufukuzwa Bungeni Wabunge 19...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia arejea Tanzania akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu kikazi

    Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu UAE leo tarehe 28 Februari, 2022.
  5. JamiiForums Tanzania JNIA naweza pata hati ya kusafiria ya muda?

    Wanabodi (in Pascal Mayalla voice), Nimepata safari ya haraka kwenda Nairobi ila passport yangu ni zile za zamani ambazo hazitumiki na siku-renew. Sasa naomba kwa mnaofahamu je ninaweza pata pass ya muda ya kusafiria? Na ninaipata wapi,ni palepale airport au immigration? Maana kwa muda uliobaki...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi uwanja wa ndege wa (JNIA)

    Leo tarehe 4Oktoba, 2021saa 11.15 Asubuhi nilisindikiza mtu Uwanjani anaenda Dodoma na Air Tanzania ya saa 12 Asubuhi. Watu walikuwa kwenye foleni ya kuingia, kuna Muhindi mmoja alivaa pensi na fulana nyekundu, mwenzie alishaingia yeye ni msindikizaji, nadhani kuna kitu alisahau kumwambia...
  7. JamiiForums Tanzania PIC Makubi chunguza kitengo cha COVID 19 JNIA, wasafiri wanalazimishwa kulipia tena wakati washachanjwa

    Haya malamiko niliyapata wiki sasa nilikuja kupokea Wamalawi sita wana docs zote kuonyesha wamechanjwa na hawana Covid. Wazee wa JNIA pengine wamo uliowasimamisha kazi wamekuwa wakisumbua sana wasafiri kwa kuwalazimisha kutoa hela ingawa wengi wakishatoa wanapitiliza nje. Nashauri wenye kuwa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Dar: Ndege ya kijeshi ya Marekani kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere (JNIA)

    Ni ndege aina ya C-17 Globemaster imeonekana terminal 3 ya JNIA tarehe 1 July 2021. Baadhi ya wananchi walisema imebeba Covid-19 vaccine lakini afisa wa ubalozi wa marekani Michael Pryor amedai kuwa ndege imeleta materials kwa ajili ya ubalozi bila kutaja ni materials gani. ==== UPDATES: Dar...
  9. JamiiForums Tanzania Wasafiri Uwanja wa Ndege Dar, Walalamikia utaratibu wa kupimwa corona

    Download 720 Waziri wa Afya anatakiwa kubadilisha utaratibu mbaya unaofanywa Mjini Dares-Salaam Airport. kuhusu Wageni ama sivyo Mwaka huu Tanzania itakosa wageni wengi na pato la Taifa kuhus wageni litashuka. Sikiliza hiyo video. ==== WASAFIRI katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…