klabu ya Simba Sc itamenyana na JKT Tanzania katika mwendelezo wa ligi ya NBC leo, Novemba 08, 2025, katika uwanja wa Mej Jenerali Isamhyo majira saa 1 kamili usiku.
All the Best Simba Sc.
Karibu Wadau Wa Soka uweke utabiri wako Wa tukio la kustaajabisha litakalokuacha mdogo wazi (kupigwa bumbuwazi) kwenye Mchezo Wa JKT Tanzania vs Simba SC kati ya haya yafuatayo.
(1) Penati ya mchongo Baada ya mchezaji kujiangusha kwenye Penati box
(2) Kadi nyekundu yenye utata na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.