jina la ukoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nafurahishwa na Utaratibu wa Kuita Majina Watoto Bila Kulazimika Kutumia jina la Ukoo la Baba kama Anavyofanya Rais Museven na Diamond

    Mfano ona hapa majina ya baadhi ya Watoto wa Rais Museveni ni , 1.Muhoozi Kainerugaba 2.Patrice Rwambogo 3.Natasha Museven Karugire Kwa sheria za Tanzania unaonekana hauna mtoto sijui mpaka ukaape mahakamani na usumbufu mkubwa sana. ======= Pastor Patience Rwabwogo, binti wa Rais wa Uganda...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania ungewekwa utaratibu kuhakikisha Watoto wote wanakuwa na jina la ukoo la Kitanzania

    Habari Wakuu. Natoa ushauri kwa Mamlaka kama Rita na nyinginezo pamoja na Watanzania kwa ujumla. Kumekuwepo na idadi kubwa ya watoto au watu wazima ambao katika majina yote matatu hakuna hata jina moja la kitanzania. Binafsi mimi naona hii si sawa, binafsi naona hii si sawa. Angalau katika...
  3. M

    JamiiForums Tanzania RITA eleweni jina la babu sio jina la ukoo

    Habari wote. Wafanyakazi wa RITA mliomo humu eleweni na muwafahamishe pia na wenzenu kuwa jina la babu sio jina la ukoo. Mfano mimi naitwa John Julius Kipingo, cha kushangaza ukimuombea mtoto(mfano Peter) cheti cha kuzaliwa huko halmashauri kitakuja na majina ya Peter John Julius, ukiwauliza...
  4. JamiiForums Tanzania Jina gani la ukoo ni maarufu zaidi Tanzania?

    Jina gani la ukoo ni maarufu zaidi Tanzania?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…