IWE MVUA IWE JUA, FOMU YA UBUNGE YACHUKULIWA JIMBO LA VUNJO.
Maelfu ya wananchi wa Jimbo la Vunjo wamejitokeza kwa wingi kushuhudia tukio la kihistoria la Mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Enock Koola, akichukua fomu ya kugombea nafasi ya Ubunge.
Shughuli hiyo iligeuka kuwa...
JIMBO LA VUNJO JAMBO NI MOJA TU LEO...ENOCK KOOLA KUCHUKUA FOMU!!
Wana Vunjo wote na Watanzania kwa ujumla, jambo kubwa limewadia! Leo tunapiga mbiu ya mgambo: Kipenzi cha Wanavunjo, Enock Koola, kuchukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Vunjo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Kada wa CCM , Msomi wa masuala ya Uchumi na Usimamizi wa Miradi, Mfanyabiashara na mdau wa maendeleo ya jamii, Comrade Enock Koola ameteuliwa na chama chake cha CCM kugombea jimbo la Vunjo uchaguzi mkuu 2025
Mtia nia nafasi ya ubunge kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Grace Kiwelu, amerejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Vunjo, huku Katibu wa chama hicho Mkoa wa Kilimanjaro, Basil Lema akitaka uchaguzi uwe huru na wa haki
Lema ameyasema hayo leo Agosti 14, 2025...
Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu kadhaa kwa tuhuma za kujihusisha na jaribio la kufanya uhalifu wakati wa zoezi la uchaguzi wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mpinduzi (CCM) jimbo la Vunjo.
Watu hao wanadaiwa usiku wa kuamkia siku ya upigaji kura za maoni, yaani Agosti...
UCHAGUZI wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mpinduzi (CCM) jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro umemalizika huku ukiacha makovu mengi kwa wakazi wa maeneo hayo na vitongoji vyake.
Uchaguzi huo uliokuwa na jumla ya wagombea sita (6) umeacha majeraha ya kutisha kutokana na mmoja wa wagombe hao...
Wakati zoezi la kuomba kura za maoni ndani ya CCM likiendelea katika Majimbo mbalimbali Nchini ili kumpta mtu mmoja atakaye peperusha bendera ya chama hicho kwa kila Jimbo, Charles Kimei ambaye anatetea kiti chake kwenye Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, amekabiliwa na maswali kuhusu ahadi zake...
ENOCK KOOLA AUNGWA MKONO ASILIMIA 90 YA WAJUMBE WOTE KATIKA JIMBO LA VUNJO – MWELEKEO WA USHINDI KATIKA KURA ZA MAONI ZA CCM
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro
Katika mchakato unaoendelea wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, hali ya kisiasa...
Katika mwendelezo wa harakati zake za kuwaletea maendeleo wananchi wa Vunjo, Mheshimiwa Dkt. Charles Stephen Kimei akiwa katika kata za Marangu Magharibi, Marangu Mashariki na Mamba Kusini ikiwa ni siku ya kwanza ya ratiba ya wagombea ubunge ndani ya CCM katika Jimbo hilo ametambulisha ajenda...
Mtaalamu wa mambo ya Uchumi, Enock Koola amejaza na kurudisha fomu ya kuwania Ubunge, Jimbo la Vunjo linalopatikana katika Wilaya ya Moshi Vijijini.
Zoezi la kuchukua, kujaza na kurudisha fomu limesitishwa rasmi siku ya Jana Julai 2.
Dkt. Kimei Aomba Tena Ridhaa ya CCM Kugombea Jimbo la Vunjo – Mwanasiasa Muadilifu, Kiungo wa Maendeleo
Na Mwandishi Wetu, Vunjo
Katika hali ya kutia moyo kwa wakazi wa Jimbo la Vunjo, Dkt. Kimei amejitokeza tena kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili aweze kugombea ubunge wa jimbo...
Faustin Mtui, mwanasheria na mkazi wa kata ya Marangu Magharibi, amejiunga rasmi katika mbio za kuwania nafasi ya ubunge wa Jimbo la Vunjo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiambatana na mbwa maalum wa doria waliompatia umaarufu katika mapambano dhidi ya uhalifu.
Soma Pia: Uzi maalum wa...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Moshi Vijijini, Yuvenal Shirima, (Kwenye Picha Kulia) amejitokeza rasmi kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika Jimbo la Vunjo, mkoani Kilimanjaro.
Hatua hiyo inafuatia barua aliyoiandikia chama chake, CCM, siku chache...
Jimbo la Vunjo limeendelea kuwa miongoni mwa majimbo yenye msisimko mkubwa kila uchaguzi mkuu unapokaribia, lakini awamu hii hali inaonekana kuchukua sura tofauti, baada ya mbunge wa sasa wa jimbo hilo, Dkt Charles Stephen Kimei, kuonekana kupigiwa upatu na wananchi walio wengi kutetea tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.