Januari 10, 2026, Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Uyole, Spika Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson amegawa vifaa vya shule kwa wanafunzi wenye uhitaji Jimbo la Uyole.
Dkt. Tulia anatoa...
Mbunge wa Jimbo la Uyole na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, amegawa chakula na msaada wa fedha kwa kaya zisizo na uwezo zipatazo 130 kutoka kata 13 za Jimbo la Uyole, ikiwa ni sehemu ya kuwawezesha wananchi hao kusherehekea Sikukuu ya Krismasi kwa furaha na heshima...
Tulia: Watu wengi wamenza kupiga kura na wengine wanaendelea kujitokeza na Jimbo la Uyole litaongoza idadi ya watu watakao piga kura
Tulia amepiga kura katika kituo cha Tamukereli ambacho kipo kata ya Itenzi baada ya kupiga kura Tulia Akson amefurahishwa kuona watu wengi wamejitokeza hadi muda...
Mgombea ubunge wa jimbo jipya la Uyole, jijini Mbeya, Dkt Tulia Ackson, amewaondoa hofu wananchi wa kata ya Iduda, kuwa ilani ya chama cha mapinduzi inaeleza namna itakavyo boresha miundombinu ya barabara inayounganisha kata hiyo na Mbeya vijijini hadi Rungwe ambayo imekua shida kwa wakazi wa...
Mgombea wa Nafasi ya Udiwani Kata ya Ilomba Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Noah Mwakisu awasisitiza wakazi wa Jimbo la Uyole kumuunga Mkono na Kumpa kura za heshima Dkt. Tulia kwani ni bidhaa adimu.
Akizungumza Katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia...
Watu wa Uyole na kwingineko amkeni, huu unyenyekevu ni wakati kuomba kura tu, Huyu ni Fyandomo amepiga na magoti jimbo la Uyole lakini wakishazipata wanawasahau wananchi na badala yake ndiyo tunakuwa wapiga magoti.
Hii Picha ya Jenista Mhagama ni mfano mzuri
Mbunge Wa Viti Maalumu Mkoa wa...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackon, leo tarehe 25 Agosti 2025, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya wananchi wa jimbo jipya la Uyole katika Uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Dkt. Tulia amechukua fomu hiyo katika ofisi za tume huru ya Uchaguzi zilizopo katika...
Naibu Mkurugenzi Habari Uenezi na Mawasiliano kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Mwandishi wa Habari wa Mawio Online TV, Ipyana Samson Umetuliwa na Chama hicho kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Uyole Jijini Mbeya Katika Uchaguzi Mkuu wa Rais Ubunge wa Diwani Utakaofanyika Oktoba...
ENEO la Isyesye nyumbani kwa Dr Seria Masole Shonyela mgombea ubunge wa Jimbo la Uyole. Wametumwa vijana wa boda boda kama thelasini na pia wamevamia nyumbani kwa akina Dr Seria na wamefanyq uharibibu kwa kuvunja vioo vya gari na kuipindua juu chini.
Huyu mgombea HAKUBALIKI Mbeya Jiji ndipo...
Dkt. Seria Masole Shonyela amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Uyole kwa dhamira ya kuleta maendeleo kwa wananchi wote, bila ubaguzi. Akizungumza baada ya kuchukua fomu hiyo, Dkt. Shonyela amesema ana nia thabiti ya kushirikiana na wananchi katika kutatua changamoto mbalimbali...
Emily Noah Sanga amechukua Fomu kugombea Ubunge katika jimbo jipya la Uyole. Itakumbukwa pia Tulia Akson Mbunge wa Mbeya mjini anayemaliza muda wake alitangaza nia ya kugombea ubunge kupitia jimbo la Uyole
Wakuu kumbe jambo lipo lipo serious, Jumatano Waziri Bashe akiwasilisha hotuba ya bajeti wizara ya kilimo alimuomba alimuomba Spika Tulia kugombea jimbo la Uyole na siyo Mbeya mjini hatimaye baadhi wananchi kutoka Uyole wameanza kumchangia fomu
Cc Stuxnet
=====
Wakati vuguvugu la kisiasa...
Wakuu
Watu wa uyole wamefikiwa sasa, Stuxnet upo wapi, Spika Tulia Akson Mwansasu atakubali kuliachia jimbo la Mbeya mjini uchaguzi wa mwaka huu akagombee Uyole?
Waziri wa kilimo Hussein Bashe leo Mei 21, 2025, katika mkutano wa 19 wa Bunge la 12, jijini Dodoma, akiwasilisha hotuba ya bajeti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.