Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na aliyewahi kuwa Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU), Ragi Samwel , amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga kupitia tiketi ya CCM.
Samwel alipokea fomu hiyo leo, Juni 30, 2025, na...