Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini Ado Shaibu amechangia Shilingi Milioni tatu katika harambee ya ujenzi wa Bwalo la Chakula na Ofisi ya Utawala katika Shule ya Msingi Jamhuri iliyopo Wilayani Tunduru.
Ado ametoa mchango huo kwenye harambee ya wazazi iliyofanyika shuleni hapo leo tarehe 13...
ADO SHAIBU AJITOSA UBUNGE TUNDURU KASKAZINI
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa ubunge katika Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia ACT Wazalendo. Amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Jimbo hilo Ndugu Noel Chilemba katika Ofisi ya Jimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.