jimbo la tandahimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025

    Wakuu! Baada ya ahirisha ahirisha sasa ndio muda wenyewe wa kujua mbivu na mbichi huko CCM Majina ya wagombea wa Ubunge wa Majimbo, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Viti Maalum vya Ubunge na Baraza la Wawakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) yanatarajiwa kutangazwa mchana huu baada ya...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Harmonize asema atagombea Ubunge Jimbo la Tandahimba 2025

    Mwimbaji Staa wa Bongo Fleva Rajabu Adbul Kahali maarufu Harmonize ametangaza rasmi dhamira yake ya kwenda kugombea Ubunge wa Jimbo la Tandahimba Mkoani Mtwara ambako ndio alikozaliwa. Itakumbukwa October 15,2019, Harmonize ambaye kwa sasa ana-hit na wimbo mpya wa 'best couple', alitajwa na...
Back
Top Bottom