jimbo la segerea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    GE2025 Jimbo la Segerea: Bonnah Kamoli (CCM) akusanya taarifa za wapigakura kwa bodaboda na akina mama Bonyokwa

    Leo mishale ya saa 7 mchana nimeona kundi kubwa la akina mama hapa Bonyokwa wakiwa wanazingira kwenye ukumbi wa Masia, katika kufuatilia zaidi kumbe mgombea ubunge jimbo la Segerea, bibie Bonnah Kamoli alikuwa amewaita ili kuungwa mkono kwa kuwapa elfu 5 na zawadi nyingine ndogondogo Wakati...
  2. FRANCIS DA DON

    GE2025 Jimbo la Segerea Dar es salaam tunaelekea kudanganywa tena Oktoba 2025 kwenye Ubunge

    Binafsi nimekuwa najiuliza sana, nchi nzima hii kila jimbo huwa linawakilishwa bungeni na mbunge ambae anaeleza shida za jimboni kwake na kupata utatuzi. Huku Tabata nimeambiwa tupo ndani ya jimbo la Segerea, sasa nikauliza, mbona huu ubovu wa kutisha wa barabara huku Tabata, tena Dar es...
  3. R

    GE2025 Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Agnesta Kaiza azua madai kilichoipa CCM ushindi Jimbo la Segerea Uchaguzi 2015

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Agnesta Kaiza, amedai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakikushinda Jimbo la Segerea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kwa nguvu yake ya kisiasa, bali kwa sababu ya sintofahamu iliyokuwepo ndani ya vyama vya upinzani vilivyounda umoja wa UKAWA Kaiza ametoa kauli...
  4. econonist

    Tusisahau kuwa John Mrema alishindwa kwenye kura za maoni Jimbo la Segerea 2020

    Napenda niwakumbushe ya kwamba kiongozi wa G55 Bwana John Mrema alipigwa Chini kwenye kura za maoni ndani ya CHADEMA kwenye kugombea ubunge Jimbo la Segerea. Mbowe akambeba na kumsimamisha kugombea ubunge hapo Segerea. Matokeo yalikuwa kama ifuatavyo: SEGEREA Jumla ya kura 144 Agness Lambert...
  5. Valencia_UPV

    Tetesi: John Mrema aliahidiwa "kutangazwa" mshindi Jimbo la Segerea

    Sio kwa povu lile. Huyu Mheshimiwa atakua ameahidiwa kutangazwa mshindi kwenye matokeo ya uchafuzi hapo Oktoba 2025. Alindwe kwa gharama zote
  6. stabilityman

    PreGE2025 Mbunge wa Segerea Bonnah Ladislaus Kamoli Mungu akubariki sana

    Mbunge wa Jimbo la Segerea, Mhe. Bonnah Ladislaus Kamoli Mungu akupe maisha marefu hv kuna kata gani jimbo la segerea hujawapa maendeleo kiufup mama chukua maua yako Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
Back
Top Bottom