jimbo la iringa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Vijue vipaumbele 10 vya mtia nia jimbo la Iringa kupitia chama cha upinzani

    ANAITWA Daudi Issa Masasi. Ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Iringa Mjini kupitia chama cha upinzani cha ADC akitaja vipaumbele 10 vyake endapo atapata ridhaa ya chama chake na wapiga kura wa jimbo hilo. Daudi Masasi ambaye amewahi kuwa Mkurugenzi wa Jarida maarufu la Tabasamu anasema...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa achukua Fomu kugombea Jimbo la Iringa Mjini kupitia CCM

    Aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini 2010 - 2020 Mchungaji Peter Msigwa amechukua fomu za kugombea Ubunge Jimbo la Iringa Mjini katika ofisi za CCM wilaya na kukabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Iringa mjini Hassan Makoba. Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa fomu Mchungaji Msigwa alisema kuwa...
  3. Dalton elijah

    PreGE2025 Katibu wa CHADEMA Jimbo la Iringa Mjini ajiunga na CCM

    Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Iringa Mjini, Pascal Chibala amehamia na kutangazwa rasmi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Chibala ameeleza kuwa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi unaofanywa na CCM ni sababu kubwa ya kumfanya ahamie chama hicho kwani...
  4. Don Gorgon

    LGE2024 Afisa Uchaguzi Jimbo la Iringa Mjini: Hatuna Taarifa rasmi ya CHADEMA kususia Uchaguzi

    Afisa uchaguzi jimbo la Iringa mjini, Bernard Mwaituka, akitolea ufafanuzi kwa njia ya simu kupitia kipindi cha Kiyoyozi cha Nuru FM juu ya madai yaliyotolewa na CHADEMA kuhusu hujuma zilizojitokeza katika suala zima la upigaji kura uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana 27 Novemba 2024...
  5. Duduvwili

    Pongezi Baba Msombe kaimu Askofu Jimbo la Iringa

    Tumsifu Yesu Kristo wapendwa katika Kristu ninayo furaha kubwa kuchukua nafasi hii kama Mwanaparokia Mzawa wa Ipogolo kukupongeza kwa Baraka za maono yaliyopelekea kupata uongozi wa juu kabisa katika jimbo letu la Iringa itoshe Kusema Mungu azidi kukutia nguvu uzidi kutusimamia kiroho hasa...
Back
Top Bottom