Tunashangazwa na kelele za jirani zenu CRDB Bank makao makuu, Ali Hassan Mwinyi. Mfano leo tangu saa 11 alfajiri wanefungulia mziki mkuubwa wakati muda huo hakukuwa na watu hata 10. Na mara zote hata wakiwa na promotion tu magari yao makubwa yenye PA system yatakuwa kupaki nje na sauti kuubwa...
Mussa Zungu, alikuwa Mbunge wa Jimbo la Ilala na Naibu Spika amechukua fomu kuomba nafasi kwa mara nyingine kwenye jimbo hilo la Ilala.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara...
Haji Manara akihojiwa na Manara TV amesema kwa sasa hawezi kugombea jimbo la Ilala na mbunge Zungu kutokana na misingi ya heshima waliojiwekea baina yao.
Ameongeza kuwa Zungu ni kama kaka yake kwani wanashirikiana vitu vingi sana na hata akienda Dodoma huwa anafikia kwake. Manara anasema ikiwa...
MBUNGE JULIANA MASABURI AWASHIKA MKONO UVCCM WILAYA YA ILALA UJENZI NYUMBA YA MTUMISHI
Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa (Anayetokea Mkoa wa Mara) Mhe. Juliana Didas Masaburi tarehe 03 Agosti, 2024 alikuwa mgeni rasmi katika ufungaji wa Baraza la UVCCM Wilaya ya Ilala Mkoani Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.