jihad

Jihad (; Arabic: جِهَاد, romanized: jihād [dʒiˈhaːd]) is an Arabic word which literally means "striving" or "struggling", especially with a praiseworthy aim. In an Islamic context, it can refer to almost any effort to make personal and social life conform with God's guidance, such as struggle against one's evil inclinations, proselytizing, or efforts toward the moral betterment of the Muslim community (Ummah), though it is most frequently associated with armed conflict.In classical Islamic law (sharia), the term refers to armed struggle against unbelievers, while modernist Islamic scholars generally equate military jihad with defensive warfare. In Sufi circles, spiritual and moral jihad has been traditionally emphasized under the name of greater jihad. The term has gained additional attention in recent decades through its use by various insurgent Islamic extremist, militant Islamist, and terrorist individuals and organizations whose ideology is based on the Islamic notion of jihad.The word jihad appears frequently in the Qur'an with and without military connotations, often in the idiomatic expression "striving in the path of God (al-jihad fi sabil Allah)", conveying a sense of self-exertion. They developed an elaborate set of rules pertaining to jihad, including prohibitions on harming those who are not engaged in combat.
In the modern era, the notion of jihad has lost its jurisprudential relevance and instead given rise to an ideological and political discourse. While modernist Islamic scholars have emphasized the defensive and non-military aspects of jihad, some Islamists have advanced aggressive interpretations that go beyond the classical theory.Jihad is classified into inner ("greater") jihad, which involves a struggle against one's own base impulses, and external ("lesser") jihad, which is further subdivided into jihad of the pen/tongue (debate or persuasion) and jihad of the sword. Most Western writers consider external jihad to have primacy over inner jihad in the Islamic tradition, while much of contemporary Muslim opinion favors the opposite view. The analysis of a large survey from 2002 reveals considerable nuance in the conceptions of jihad held by Muslims around the world.The sense of jihad as armed resistance was first used in the context of persecution faced by Muslims, as when Muhammad was at Mecca, when the community had two choices: emigration (hijra) or jihad. In Twelver Shi'a Islam, jihad is one of the Ancillaries of the Faith. A person engaged in jihad is called a mujahid (plural: mujahideen). The term jihad is often rendered in English as "Holy War", although this translation is controversial. Today, the word jihad is often used without religious connotations, like the English crusade.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Muislamu akifa kwenye Jihad ni furaha kwake

    Muislamu akifa kwenye Jihad ni furaha kwake Mtu anayekufa katika njia ya Allah huitwa shahidi (shahid). Katika Qur'an kuna aya inayosema: “Wala msiwadhanie waliouawa katika njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni wafu, bali wao wako hai...” (Qur’an 3:169) Tofauti na wakiristo na wegine. Wanaona wakiwaua...
  2. Kijakazi

    its happening, ballot or bullet, hawajifichi tena, muslims!

    muslims wanataka kulazimisha sharia in the USA kwa namna yoyote ile, wanaita jihad, wasikilize mwenyewe, wanasema democracy is haram ... https://x.com/i/status/1986085984128172528
  3. Echolima1

    Islamic Jihad wakiri kupata pigo kubwa kwa viongozi wake huko Gaza

    Islamic Jihad imethibitisha kuwa maafisa wake wakuu 15 waliangamizwa na majeshi hodari ya Israel hivyo kuashiria pigo kubwa kwa uongozi wa kundi hilo huko Gaza kwa sasa vita vimeisha na wao viongozi wao wote 15 wamefyekelewa mbali toka vita hivyo vianze Oct 07,2023. Hii inadhibitisha kuwa...
  4. ELI COHEN

    Bongo ukiwa mkimya utasemwa na ukiwa muongeaji utasemwa pia

    Maisha ya bongo ni jihadi kwa kweli! Ukiwa mkimya utasemwa unajisikia na ukiwa muongeaji utaitwa mjuaji licha ya haya usiache kuishi kwa namna yako "MTAZAMO WAKO KWANGU NI TASWIRA YAKO" Kuna wakati utagundua ulipoteza muda kuwa na hurka ya kuridhisha watu, ulipoteza muda kuhukumu wasioendana...
  5. Echolima1

    Kwa uovu wanaoufanya Magaidi wa Hamas na Islamic Jihad hawapaswi kupewa nafasi ya kuishi katika duniani hii!!!!

    VIDEO ya kuhuzunisha ya sekunde 40 inayomuonyesha mateka wa Israel Evyatar David, akionekana kuwa na mifupa na dhaifu ndani ya handaki akilazimishwa kuchimba kaburi lake mwenyewe. Video hii ilitolewa kwa idhini ya familia yake, baada ya Hamas kuchapisha kanda hiyo bila ridhaa yao. Familia...
  6. ELI COHEN

    Ulaya ina chaguzi 2; Ijifunze kutoka kwa Israeli jinsi ya kushinda terror ya itikadi kali au kupoteza muuda kuilaan Israeli huku wakiwa terrorized

    Hivi karibuni ulaya itasambaratika na kuwa eneo jipya la mapigano ya kivita, ulaya haifahamu kuwa Israel ambayo imekuwa ni uzio kwao wa kuwazuia itikadi kali na magaidi ambao ndio wapangaji wa machafuko ya dunia Leo hii ulaya inajifanya kuwa "politicall correct" kwa kuwapa fursa na nafasi...
  7. ELI COHEN

    Iran aliapa kuwa mfalme wa jihad duniani, sultan wa msimamo wa itikadi kali na mshindi wa chuki dhidi ya mamlaka za kikristu, kihundu na kiyahudi.

    Basi kwa namna hio aliandaa kimya kimya njia za kutetemesha mamlaka ambazo hakuzipenda. Alifadhili machafuko kwa namna ambayo hakuonekana alihusika na walileta maafa makubwa. Kila mkono wa ugaidi duniani haswa wa kutoka mashariki ya kati unashikwa na Irani kwa asilimia zaidi ya 65% Mamlaka ya...
  8. U

    Jordani yakataa kumzika mfungwa aliyeachiliwa huru aliyefariki kwa saratani

    Maajabu Jordan yagoma kupokea mwili wa gaidi mfungwa wa kundi la kipaleatina Islamic jihad na kuurudisha misri aliachiwa huru na Israel Wadau hamjamboni nyote? Moatassem Radad ni mpalestina mwenye asili ya Jordan na alikuwa gaidi hatari wa kundi la kipaleatina la Islamic jihad na Alikuwa...
  9. I

    Mufti mkuu wa Misri akataa fatwa ya jihad dhidi ya Israel kama 'kutowajibika'.

    Mufti mkuu wa Misri akataa fatwa ya jihad dhidi ya Israel kama 'kutowajibika'. Mufti Mkuu wa Misri Nazir Ayyad Jumatatu alisema "halikuwa jambo la kuwajibika" kwa Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) kutoa fatwa ambayo ilisema "Waislamu wote wenye uwezo" wana wajibu wa kufanya...
  10. Dhul Qarnainn

    Fahamu Maana Halisi ya Jihad na Jinsi Inavyopotoshwa

    Katika miaka ya hivi karibuni, dhana ya Jihad imekuwa ikitumiwa vibaya na makundi mbalimbali, hali iliyosababisha Waislamu kushutumiwa kwa ugaidi. Watu wengi, wakiwemo Waislamu wenyewe, hawana ufahamu sahihi wa maana ya Jihad kulingana na Qur’an na Sunnah. Makundi kama Al-Shabaab, Al-Qaeda...
  11. Echolima1

    Israel yamuua msemaji wa kundi la wanamgambo wa Palestinian Islamic Jihad Abu Hamza

    Msemaji wa kundi la wanamgambo wa Palestinian Islamic Jihad, Abu Hamza, ameripotiwa kuuawa katika shambulio la Israel katika Ukanda wa Gaza, kwa mujibu wa chombo cha habari cha Saudia, Al Hadath, Jumanne asubuhi. Kulingana na ripoti hiyo, Hamza na familia yake waliuawa katika nyumba yao huko...
  12. ELI COHEN

    Yemen ni mwendelezo mwingine wa ndoto ya jihad yoyote atakaye pata mamlaka ili aridhishe hamu yake ya kufanya maafa. Syria itafata subiri wapate pesa.

    Chezea mtu aliefunzwa kwa kuchochewa chuki na vurugu tangu utoto. Kwamba solution ya jambo lolote ni kuwa a rebel na haki ya kweli ni ile ya itikadi yao mahasusi. Basi tambua kuwa hawa watu hata waamie kwenda sayari venus, wataanza kupigana tena wao kwa wao kwa maana asili yao ni resistance...
  13. U

    Kiongozi Mkuu kikundi cha kigaidi Islamic jihad Mohamed Abdullah auawa shambulizi ndege za IDF kambi ya wakimbizi Nur Shams West Bank

    Wadau hamjamboni nyote? Muhammad Abdullah Kiongozi Mkuu Islamic jihad ameuawa na shambulizi la ndege za Israel Mtangulizi wake Muhhamad Jabber aliuawa hivyohivyo mwezi agosti Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: ===== Live Update arrow right icon From the Liveblog of Friday, October 11...
  14. G

    West Bank - Palestina,: Maabara ya mabomu yakutwa ndani ya msikiti uliojengwa kwenye makazi ya raia.

    Jeshi la Israel limeingia Ukingo wa Magharibi (West Bank) kuanza operesheni kubwa kwenye miji inayoshikiliwa na Kundi la Palestine Islamic Jihad. operesheni hiyo imeweza kubaini msikiti wenye maabara ya mabomu ndani yake. imekuwa ni kawaida kwa vikundi hivi kuwatumia raia kama ngao kwa...
  15. U

    Muhammad al-Jabari Kiongozi mkubwa wa magaidi wa Islamic Jihad anayeongoza kitengo cha kutengeneza silaha za maangamizi auawa leo asubuhi

    Wadau hamjamboni nyote? IDF yaendelea kutembeza kichapo kwa Viongozi wa magaidi Mashariki ya kati Muda mfupi uliopita gaidi mmoja anayehusuka na kitengo cha silaha na fedha za kikundi hatari cha Islamic jihad ameuawa kwa kombora la ndege. IDF inasema kwamba al-Jabari alikabidhiwa idara/...
  16. MK254

    Magaidi wa jihad wakutana na walaji watu wa Mali, unyama kwa unyama, yetu macho

    Wanajeshi wa Mali watuhumiwa kuchinja magaidi wa jihad ya kiislamu na kuwatafuna nyama, kuna video ilikua inasambaa ila imefutwa.....yaani wote mashetani, binadamu wanafanyiana unyama kuzidi wanyama wa mwituni..... Magaidi ya kijihadi kujinadi kwamba wao ndio wakali wa kufanya maunyama, ila...
  17. Webabu

    Palestine Islamic Jihad kupeleka wapiganaji Lebanon kuongeza nguvu iwapo Israel itatangaza vita vya wazi na Hizbullah

    Kuishi kwa uhasama na jirani zako au kwa kuonesha kwamba wewe ni mbabe daima kuna madhara makubwa. Na hapa ndicho ninachopenda kukitolea taarifa kufuatia tangazo la kundi la Palestine Islamic Jihad (PIJ) kusema limeazimia kupeleka wapiganaji nchini Lebanon kupitia tawi lake la Syria ili...
  18. bahati93

    Iran Infinity Jihad

    Iran taifa la kiislam, taifa lililojibebesha majukumu ya kulifuta taifa la Israel katika uso wa dunia kama njia mojawapo ya kutekeleza majukumu ya Uislam wa kweli. Hili bandiko ni kwa ajili ya waislam wote Duniani wanaokubaliana na mtazamo wa Iran! Kuna maswali nataka waulize. Baada ya Irani...
Back
Top Bottom