Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Award Karonga, ambaye ni kiongozi mwandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za uchochezi na makosa mengine ya kijinai.
Award Karonga, ambaye ni mkazi wa Katumba, anashikilia nyadhifa za Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Rungwe...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Oktoba 20, 2025 amewaongoza Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kufanya doria ya Magari, Miguu na Mbwa wa Polisi kuzunguka maeneo mbalimbali ya Mkoa huo.
Akizungumza mara baada ya doria...
TAARIFA KWA UMMA
WAFUASI WA CHADEMA WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI MBEYA.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limewakata wafuasi sita (6) wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Rungwe akiwemo Mwenyekiti wa Jimbo la Rungwe Gidion Mwakila kwa tuhuma za kufanya mikusanyiko isiyo halali...
Baadhi ya wananchi wamekamatwa hapa Mbarali na Jeshi la Polisi kwa sababu wamepinga matokeo ya kura za maoni za kupatikana kwa mgombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbarali kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuwaweka mahabusu lakini Jeshi la Polisi halitoi taarifa yoyote juu ya kukamatwa kwao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.