Mpaka sasa nchi haitawaliki hii alifikiri baada ya uchaguzi hali itakuwa kama alivyoingia hivi sasa hawezi hata kutembea mbele ya jeshi bila woga kama mwanzo anajua wizi alioufanya.
Hali itabadilika zaidi baada ya round ya pili ya #D9 anajifanya hasikii nakwambia masikio yatazibuka. huwezi...
Maadui wa sasa dhidi ya mipaka yetu wanatumia teknolojia na mipaka yetu sio physical tena bali ni electronic.Je JWTZ limewezeshwa kulinda mipaka ya kieltroniki?
Ushauri:Iundwe kamandi maalumu ya ulinzi wa maadui wa mitandaoni kwa kuwa sasa tupo kwenye vita na maadui waliopo mitandaoni.
KWA...
GT
Tulijipa matumaini hewa kwamba tuna JW inayodhamin̈I maisha yetu kumbe ni wahuni wachumia tumbo.
Amini nawaambia hawa jamaa walisaidia police kutuua 100%, JW walipiga san̈a risasi hasa nyakati za usiku mchana wanajifanya wapole.
JW na Police lao ni moja kulinda.mafisadi ya CCM na wala siyo...
JWTZ kuruhusu mamluki kuingia nchini na kuua watu uliokula kiapo kuwalinda ni usaliti mkubwa.
Viongozi wa jeshini kama wanaweza kusaliti nchi yao na raia wao kwa vipande vya fedha, wanashindwa nini kununuliwa na maadui wakati wa vita.
Mauaji yaliotokea Tanzania hakika imani ya wananchi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.