Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo - Bara, Isihaka Mchinjita, jana Januari 15, 2026, ameendelea na ziara yake ya kikazi kwa kukutana na Viongozi pamoja na Wajumbe wa jimbo la Tanga Mjini.
Katika mkutano huo, alizungumzia matukio yanayohusiana na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29...
Maafisa wa Jeshi nchini Guinea-Bissau wametangaza kuchukua “udhibiti kamili” wa serikali leo siku ya Jumatano (Nov 26, 2025) wakisitisha mchakato wa uchaguzi na kufunga mipaka, zikiwa ni siku tatu tu baada ya taifa hilo maskini la Afrika Magharibi kufanya uchaguzi wa wabunge na rais ulioibua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.