Mbunge wa Iringa Mjini, 2020 - 2025, Jesca Msambatavangu akipangua maswali ya Charles_william kupitia One on One ya Wasafi TV.
Amesema "Wakati fulani uangalie maoni unyaotoa wewe ni nani na una influence kwenye jamii. Na kingine kuna mambo yako sensitive ndo maamna kuna vitu vingine vyombo vya...
MBUNGE wa Jimbo la Iringa Mjini anayemaliza muda wake, Jesca Msambatavangu, leo amechukua na kurejesha fomu ya kugombea tena nafasi ya ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Hatua hiyo inaonesha dhamira yake ya kuendeleza kazi ya kulitumikia jimbo hilo kwa kipindi kingine.
Akizungumza mara...
Wakuu leo bungeni kumewaka naona wanatumia muda wote 'kuwachamba' Wakenya
===
Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu wakati akichangia kwenye bajeti ya wizara ya mambo ya ndani amegusia suala la Martha Karua kuja nchini na kile kilichotokea.
"Mama mtu mzima aliyesoma sheria anaondoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.