jesca kishoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    GE2025 Jesca Kishoa: Najilaumu kuchelewa nilikuwa wapi kujiunga CCM

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iramba Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jesca Kishoa, amesema anajilaumu kuchelewa kujiunga na CCM baada ya kutumia muda mrefu akiwa Chama cha CHADEMA. Akihutubia leo Septemba 10 kwenye mkutano wa kampeni wilayani Iramba, Kishoa amesema CCM ni chama kikubwa...
  2. DuaZaMama

    GE2025 Jesca Kishoa achukua fomu ya ubunge jimbo la Iramba Mashariki

    Mbunge wa Viti Maalum Jesca Kishoa, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa Jimbo la Iramba Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Kishoa amechukua fomu hiyo leo Juni 30, 2025, katika Ofisi za CCM Wilaya ya Mkalama, mkoani Singida. Hatua hiyo ya Kishoa inakuja ikiwa ni mwezi...
  3. W

    PreGE2025 Jesca Kishoa atangaza kugombea ubunge Iramba Mashariki

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Jesca Kishoa, ametangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Iramba Mashariki katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, baada ya kupokea maombi ya wananchi kumtaka awanie nafasi hiyo. Akizungumza Mei 24, 2025, katika mkutano wa hadhara...
  4. Just Pray

    PreGE2025 Mbunge Jesca Kishoa: Uchaguzi usipokuwepo amani itavurugika, kwa jeshi la polisi tulilonalo hakuna atakayezuia uchaguzi

    Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Singida, Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya NO REFORM NO ELECTION inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi. Kishoa...
  5. B

    PreGE2025 Kishoa: Hakuna mtu wa kuweza kuzuia uchaguzi, uchaguzi utakuwepo

    Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Mbunge Kishoa ahoji; Kwa Jeshi hili la Polisi mliloliona kuna wa kuzuia Uchaguzi?

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Jesca David Kishoa, amepinga vikali kampeni ya NO REFORM NO ELECTION inayoendeshwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambacho kinapinga kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 hadi pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa...
  7. mwanamwana

    PreGE2025 Singida: Jesca Kishoa atumia wanafunzi kupitisha ajenda zake kugombea Ubunge

    Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mgolobyo, Kijiji cha Mgolobyo Kata ya Miganga mkoani Singida wameelezea Furaha yao mara baada ya kupokea Taulo za kike ( Pads) kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa Wa Singida Mhe. Jesca Kishoa na kusaidia kuepukana na gharama za kununua taulo hizo za kike...
  8. Mindyou

    PreGE2025 Mbunge wa Viti Maalumu CCM Jesca Kishoa: Kuna kiongozi alinishauri nisisaidie wananchi, alitaka nihonge wajumbe ili nishinde Uchaguzi

    Wakuu. Wabunge wa CCM washaanza kutoa siri za kambi Mbunge wa viti maalum Jesca Kishoa hivi karibuni akiwa nanaongea na wananchi amefichua kuwa aliwahi kushauriwa na kiongozi mmoja wa kisiasa kwamba abadili mbinu zake za kisiasa na kwamba badala ya kuwahudumia wananchi, aweke akiba ya fedha...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mapokezi ya Jesca Kishoa kwa wananchi Kata ya Nkalakala akiwa na vazi la kijani na kusindikizwa na nyimbo za CCM

    Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Jesca Kishoa amefika katika Kata ya Nkalakala Wilayani Mkalama Mkoani Singida na kufanya mkutano wa hadhara na wananchi pamoja na kusikiliza kero za wananchi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala...
  10. Suley2019

    LGE2024 Singida: Mbunge Jesca Kishoa ajitokeza kupiga Kura

    Mbunge wa Viti Maalum kutoka Singida, Jesca Kishoa, leo Novemba 27, 2024, ametimiza haki yake ya kidemokrasia kwa kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kijiji cha Maziliga, Nduguti, wilayani Mkalama, Singida, alikozaliwa. Baada ya kupiga kura, Kishoa amesema, "Leo nimetumia...
  11. Erythrocyte

    PreGE2025 Aliyekuwa mwanachana wa CHADEMA Mbunge Jesca Kishoa aomba 2025 itolewe Fomu 1 tu ya Urais kwa Samia Suluhu Hassan

    Bado haijajulikana alipata wapi ujasiri wa Kuwapangia Watu wengine mambo yao ikiwa yeye hayuko huko, Au mimi ndio sielewi? Ujumbe wake huu hapa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Mkoa wa Singida, Jesca Kishoa Jesca Kishoa amewaomba Wakazi wa Kata ya Gumanga kuwa na imani na Rais wa Tanzania, Dkt...
  12. B

    Mbunge Kishoa aitaja tena Mkalama Bungeni, ahoji idadi ya watumishi kada ya Afya, Serikali kuipa kipaumbele mwaka huu

    Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Singida Mhe. Jesca Kishoa leo alhamis Aprili 18, 2024 kwenye Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni amehoji Serikali kupitia Wizara ya TAMISEMI ,Serikali ina mkakati gani wa kuongeza watumishi kada ya afya kwakuwa idadi iliyopo ni watumishi 287 tu ambapo idadi...
  13. Erythrocyte

    Mbunge Jesca Kishoa aliyefukuzwa CHADEMA, aibukia mkutano wa CCM na kuhutubia

    Kutoka Singida Mmoja wa Wabunge wasio na chama waliotimuliwa Chadema kwa Tuhuma za Usaliti, Jessica Kishoa amefumwa kwenye Mkutano wa hadhara wa CCM, uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Bwana Chongolo. Kishoa akihutubia mkutano huo wa hadhara wa ccm alianza na maneno haya, nanukuu " CCM...
Back
Top Bottom