Kwema?
Aisee wadau nimekuwa na mapenzi makubwa na Jennifer Lopez ila nimekosa njia ya kukutana naye. Kama kuna mtu mwenye 'access' naye anipm, nitampa chochote kile. aisee, nyie, jamani mh!
Yaani huyu mmama au sijui mdada anazeeka na uzuri wake ule ule wa miaka ya 90, kipindi hicho nipo kijana...