jela miaka 20

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Jela Miaka 20 kwa kuiba nguzo tatu za umeme

    Ezbon Mujuni (28) mkazi wa kijiji cha Bunazi Wilaya ya Missenyi Mkoa wa Kagera amehukumiwa kwenda jela miaka 20 kwa kosa la kuchimba na kuiba nguzo 3 za umeme na nyaya zenye thamani ya Tsh. 11,536,357 Mshtakiwa alitenda kosa hilo Julai 21, 2024 katika kijiji cha Nyakahama Wilaya ya Muleba...
  2. DuaZaMama

    Jela Miaka 20 Kwa kuchezesha Uume kwenye Nyeti za mtoto

    Mahakama ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara imemuhukumu kifungo cha miaka 20 jela Mussa Hassan Ntakula (70), Mkazi wa Kijiji cha Ngalinje baada ya kupatikana na hatia ya kosa la udhalilishaji wa kingono ambapo hukumu hiyo imetolewa mbele ya Hakimu Mfawadhi wa Mahakama ya Wilaya ya Masasi, Rehema...
Back
Top Bottom