jela maisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Its Tesha

    Tanga: Watu wawili wahukumiwa jela maisha kwa kumlawiti msichana

    Mahakama Kuu Kanda ya Tanga imewahukumu kifungo cha maisha Hamisi Jamali Mkufya (22) na Abdallah Sebo (20), wakazi wa Mbugani, kwa kosa la kumlawiti msichana mwenye umri wa miaka 16 mkazi wa Mikanjuni, Wilaya ya Tanga. Tukio hilo lilitokea Desemba 26, 2023 katika eneo la Mikanjuni, Wilaya ya...
  2. DuaZaMama

    Jela maisha kwa kumbaka mwanafunzi

    Emmanuel Mussa (27), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Ighombwe, mkoani Singida, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa darasa la tano wa Shule ya Msingi Ighombwe. Tukio hilo lilitokea Novemba 12, 2023 katika Kata ya Sepuka, Wilaya ya Ikungi...
  3. B

    Waliofungwa jela maisha ni matokeo ya Uchawa. Anayekutuma hatakuwepo siku ya madhira juu yako

    Ndani ya Taifa letu ni wazi sasa Tunu ya Vijana imekuwa ni Uchawa. Ili utoboe maisha lazima uwe chawa wa kisiasa au wa namna nyingine pia. Waliofungwa miaka ya maisha Jela ni chawa ambao awali zilivuma kuwa walitumwa. Ukitazama nyuso za wale vijana zilo Innocent kabisa. Huwezi kufikiria kuwa...
  4. Heparin

    Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam. Ni katika kesi ya jinai namba...
  5. Cute Wife

    Muharami Abdallah (Chonji) na wenzake wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imewahukumu kifungo cha maisha jela washtakiwa watano baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya aina za heroini gramu 5,309.57 na kokeni zenye uzito wa gramu 894.28. Hukumu imetolewa Julai 11, 2024 na Jaji Awamu Mbagwa, aliyesikiliza...
Back
Top Bottom