januari makamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kauli ya Januari Makamba kama hawampendi wamuue ina maana gani?

    Nimejaribu kutafakari kauli ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliyotuambia Watanzania wapuuzi tu na kama hatuamini sababu za kukatika umeme na kutokamilika kwa bwawa la Nyerere tukamuue imenipa tafakari nyingi sana Mosi ina maana Makamba anawaita watanzania ni wapuuzi na kamwe hawezi kutoka...
  2. Januari Makamba: Wanaohoji kuchelewa Mradi wa JNHPP ni upuuzi tu

    Leo Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu wanaohoji kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere JNHPP ni upuuzi tu na kama hawaamini majibu yake basi wamuue. "Ukisema Bwawa litachelewa kwa sababu hii na hii wanasema muongo huyo, mshenzi huyo basi njooni mniue basi kama hamuamini, wote...
  3. Januari Makamba awajibu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu watu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi kwa wanawake katika ziara anayoendelea nayo katika mikoa 14 ya Tanzania na kusema wacha wabishane lakini lazima twende mbele “Wacha watu waseme wabishane lakini lazima twende mbele kwenye nishati...
  4. Waziri Januari Makamba agawa mitungi 300 ya gesi kwa kina mama wa CCM Mkoa wa Mara

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliwaahidi viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania ( UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara kuwapa mtaji wa mitungi ya gesi 300 kwa ajili ya kusambaza kwa wananchi kwa gharama nafuu ili waondokane na nishati chafu ya kupikia. CHANZO: GAZETI LA...
  5. J

    Waziri Makamba atembelea Kisiwa cha Ukara ambacho Viongozi huwa hawaendi, azungumza na Wananchi na kuahidi kuwapunguzia bei ya Umeme

    Waziri wa Nishati January Makamba ametembelea Kisiwa cha Ukara na kuwaahidi watapata bei mpya ya Umeme yenye unafuu kuanzia August Mosi 2022. Pia Makamba ameongea na mwekezaji wa Umeme hapo Ukara na kumtaka aongeze muda wa kusupply Umeme tofauti na saa 12 kama anavyofanya sasa. Wananchi wa...
  6. Waziri Makamba: Msitegemee wala kutarajia bwawa la mto Rufiji kujazwa maji mwezi Machi

    Aisee kwa Waziri huyo tumepigwa! Leo bungeni amedai Tanzania nzima eti hakuna winchi lenye uwezo wa kubeba milango yenye uzito wa tani 26 ili kuziba milango iliyokuwa inachepusha maji ili ujenzi wa bwawa uendelee. Kadai winchi hilo hadi litoke nje ya Nchi 😂. Hivi huyo jamaa anatuona hamnazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…