jana

Jana Sena or Jana Sena Party (JSP) (People's Army Party) is an Indian Regional political party based in Andhra Pradesh and Telangana, India. It was founded by Tollywood actor and politician Pawan Kalyan on 14 March 2014. Jana Sena means "People's Army" in Telugu. The motto of the party is "fight for the rights of each and every common person".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwezi jana nilitembea na ndugu wa mke wangu ambaye pia kaolewa, alikuwa analipiza kisasi kwa mke wangu

    Habarini wana jamvi. .. Siku chache zilizopita kuna binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoa wa Mara (kaolewa Dar es salaam)alinitumia friend request,nikawa nimeaccept.Basi ikawa kila nikipost picha anacomment ba mdogo umependeza!Basi siku moja nikamchek inbox akajitambulisha yeye anamuita wife...
  2. JamiiForums Tanzania Makundi 4 ya Watanzania waliobaki Njiapanda baada ya Hotuba ya Rais Samia ya Aprili 22, 2021

    Hotuba ya Rais Samia hapo jana imeacha watu wengi nija panda. Binafsi naona kama ililenga zaidi kuyapooza makundi yaliyokuwa yanapiga kelele kama: Vyama vya upinzani Team Magufuli Wafanyabiashara Wananchi wengine kiukweli tumebaki njiapanda, maana hatujui ni upi uelekeo wa Rais hasa...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Wakati tunasonga ugali wa SGR na JNHPP, tusimwage viporo vya jana

    Kuna miradi mingi ilianzishwa awamu ya nne na baada ya awamu ya tano kuingia iliachwa kiporo kwanza. Ipo iliyokuwa na kasoro za kiutekelezaji na ipo iliyosimama kwa mapungufu ya kifedha na ipo iliachwa kwa changamoto mbalimbali, naamini kuna sababu za msingi zilizopelekea kuachwa. Lakini sio...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu alitaka Bunge kujadili Bajeti badala ya kumfananisha yeye na Hayati Magufuli

    Rais Samia amesema siyo afya kwa bunge kuacha kujadili bajeti na kuanza kumlinganisha yeye na hayati Magufuli . --+ Inasikitisha sana kuona wanapiga ngoma mitandaoni lakini ngoma ile inachezwa Bungeni na mnademka vizuri sana. Mnafanya kazi ya kulinganisha watu badala ya kulinganisha ajenda za...
  5. JamiiForums Tanzania Nimemuonesha mke wangu wanawake wanaojiuza ili ajue thamani yake

    Habari, kumekuwa na mijadala mingi sana ya kuhusu ndoa humu ndani na wengi wakiwa wanalalamika kuhusu wake zao kuchapiwa/usaliti/mateso na changamoto mbali mbali za ndoa. Kwa upande wangu, nimeoa mwanamke mzuri i mean kwenye kila sekta tabia sura na hata matendo na tupo kwenye ndoa mwaka wa 5...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Sisi mpinzani wetu siyo vyama vya siasa ni changamoto za Watanzania

    “Sisi Mpinzani wetu sio Vyama vya Siasa, Mpinzani wetu ni changamoto za Watanzania leo ukizungumza Watumiwhi wana manung’uniko kuhusu mishahara yao, wana manung’uniko kuhusu kupanda madaraja kwa miaka mitano hawajapanda madaraja, leo ukizungumza kuhusu bodi ya mikopo unaona sheria ilikuwa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Niacheni nilie maana bado sijasahau yaliyonipata jana yasije kunikuta tena

    Ninalia tena msiba unaanza upya pale Mnapo nikumbusha enzi za kupishana angani! Mzee Kikwete alisafiri takribani safari za nje 421 kwa wastani wa siku tatu kila safari alikaa nje ya nchi kwa jumla ya siku 1263 katika miaka kumi, miaka 3 na miezi 4 hakuwepo nchini, ukiongeza siku zake za rikizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…