Kituo cha habari cha kidijitali cha Jambo Online Television kimetangaza rasmi kurejea hewani kuanzia leo, Julai 3, 2026, baada ya kukamilika kwa adhabu ya kufungiwa kwa muda wa siku 90 iliyokuwa imewekwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
Soma Pia: Jambo Online TV wafungiwa kwa siku 90...