Kinachofanyika mahakamani kwa miezi mitatu mfululizo ni ishara kwa muhimili wa mahakama kushindwa kutekeleza wajibu wake na kutekeleza maelekezo ya serikali.
Kwa kuwa mkuu wa muhimili wa mahakama ni yule yule aliyekuwepo wakati watu wanaonewa na kubambikiwa kesi na kwa kipindi chote hicho...