jaji mkuu mstaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Kuteuliwa kwa Jaji Mkuu Mstaafu Prof. Ibrahim H. Juma kunaacha maswali mengi kwenye mhimili wa Mahakama!

    Watu wengi wamekuwa wakijiuliza maswali mengi kitendo cha Rais Samia kumteua Prof. Ibrahim Juma aliyekuwa Jaji Mkuu wa Mhimili wa Mahakama aliyestaafu juzi tu kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha UDOM. Je, kwa kitendo hicho kuwapi dhana ya separation of power ya mihimili ya dola? Je hii haidhihirishe...
  2. Waufukweni

    Jaji Mkuu mstaafu Prof. Juma: Rais Samia haingilii uhuru wa Mahakama, bali ushirikiano

    Jaji Mkuu mstaafu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amesema ufuatiliaji wa masuala ya Mahakama unaofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan haumaanishi kuingilia uhuru wa mhimili huo, bali unaonesha dhamira ya kushirikiana kwa ajili ya kuimarisha utoaji wa haki nchini. Pia, Soma: Spika Dkt. Tulia...
  3. kyagata

    Kwanini Rais Samia anapenda kufanya kazi kwa ukaribu na watu kutoka mkoa wa Mara?

    Jaji mkuu mstaafu Prof Ibrahim Juma ni mwenyeji wa mkoa wa Mara, Jaji mteule Maseju nae ni mwenyeji wa mkoa wa Mara. IGP mstaafu Simon Sirro ni mtu wa Mara, IGP wa sasa pia ni mtu wa Mara. ADC wa Rais Samia nae ni mtu wa Mara, pia nimedokezwa hapo ikulu kwa sasa wasaidizi wengi wa mheshimiwa...
  4. Heparin

    PreGE2025 Baada ya Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga kushikiliwa Uwanja wa Ndege Dar, Jaji Mkuu mwingine mstaafu David Maraga afanikiwa kupenya Kisutu

    Baada ya Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga kushikiliwa Uwanja wa Ndege Dar majira ya saa 9 alfajiri alipowasili nchini kufuatilia kesi ya Tundu Lissu, Jaji Mkuu mwingine mstaafu wa nchi hiyo David Maraga, amefanikiwa kutinga Kisutu. Pia soma Pre GE2025 - DSM - Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu...
  5. L

    Jaji Mkuu Mstaafu, Othman Chande ateuliwa kuwa mwangalizi wa uchaguzi wa Mauritius unaotarajiwa kufanyika tarehe 10 Novemba, 2024

    Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Mheshimiwa Mohammed Chande Othman, Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, kuwa Kiongozi wa Misheni ya Uangalizi ya Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa...
Back
Top Bottom