itakuwa ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jamaikatz

    Kufanikiwa itakuwa ngumu

    Bodaboda Bajaji Dereva wa magari Saidia fundi n.k. Suala la kuwa tajiri au kufanikiwa na kuenjoy matunda mpaka uzeeni , ni ngumu sana ,hizo kazi ukilala kitandani mwezi mzima Kwa maradhi lazima urudi nyuma hata ulivyo nunua unauza
  2. Fbn

    Nchi ya haiti,polisi ndio chanzo hata ukipeleka jeshi itakuwa ngumu.

    Polisi wa kenya baada kurudi nyumbani kutoka haiti wanakwambia polisi walikosa uhaminifu ile nchi sababu ni wao. sasa wamefikia hatua kuwaua mpaka na familia zao nili nukuu BBC makala hipo. Jeshi la polisi tanzania kumbukeni mna familia na ukoo je mnavyo shindwa kuzibiti na kufanya haya kisa...
  3. MamaSamia2025

    Bila kuachana na imani za kishirikina itakuwa ngumu kwa Watanzania wengi kupiga hatua za kimaendeleo

    Nimesikitishwa sana na huyu msomi ambaye ni motivational speaker kuamini imani za hovyo zisizo na uthibitisho wowote wa kisayansi. Mwenyewe anadai ni vibaya kumruhusu mtu alale kitandani kwako au kumpa mtu nguo zako. Kwa madai yake ya kishirikina ni kuwa ukifanya hivyo utapatwa na majanga mabaya...
  4. ukwaju_wa_ kitambo

    Itakuwa ngumu - Viviani & Q Chief

    VIVINI FT Q CHIEF - ITAKUWA NGUMU... Chorus.. 🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶 Oooh ooooh oooh oooh Ningekununulia Gari mama weee!! La kifahari lakini sina pesa " itakuwa ngumu" Ningekupeleka shart mama wee!! Unyamwezini lakini sina pesa.. Verse ... 1..( viviani) Itakuwa ngumu sana umeamka Asubuhi na mapema/...
Back
Top Bottom