Katibu wa NEC - Oganaizesheni wa CCM Taifa (MCC) Issa Haji Ussi Gavu leo tarehe 23 Juni 2025 ameshiriki Mkutano Mkuu Maalum wa Jimbo la Kinondoni Jijini Dar es salaam, akiwa Mgeni Rasmi, uliofanyika katika Ukumbi wa Ubungo Plaza
Katika mkutano huo, Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Tarimba Abbas...
Chama cha Mapinduzi (CCM), kimetoa onyo kwa watu wote wanaojipitisha katika majimbo kutaka ubunge kabla ya muda sahihi, hivyo kitawashughulikia.
Akizungumza katika uzinduzi wa ofisi ya CCM Wilaya ya Newala mkoani Mtwara Machi 1, 2025, Katibu wa Organizesheni wa chama hicho, Issa Ussi Gavu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.