israel katz

Israel Katz (Hebrew: יִשְׂרָאֵל כַּ״ץ , born 21 September 1955) is an Israeli politician and member of the Knesset for Likud currently serving as Minister of Defense. He was a member of the Security Cabinet of Israel. Katz has previously served as Minister of Agriculture, Minister of Transport, Minister of Intelligence, Minister of Energy, Minister of Finance, and twice as Minister of Foreign Affairs. On 5 November 2024, it was announced that he would be nominated by Prime Minister Netanyahu to Defense Minister after Yoav Gallant was fired.

View More On Wikipedia.org
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Leo ni Jerusalem day!!

    Yerusalemu ni zaidi ya mji. Ni moyo wa Wayahudi, mahali ambapo historia, imani, na utambulisho hukusanyika pamoja katika vizazi vyote. Leo tunaadhimisha Siku ya Yerusalemu na miaka 59 tangu kuunganishwa tena kwa mji mkuu wa milele wa Israeli. Kuanzia mawe ya kale ya Jiji la Kale hadi sauti...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz aionya Iran!

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz, mwishoni mwa tathmini ya hali kuhusu Iran: Israeli imejiandaa upya kwa ajili ya vita dhidi ya Iran. Jeshi la IDF limejiandaa katika ulinzi na mashambulizi na malengo yamewekewa alama tayari kwa kushambuliwa!! Tunasubiri amri tu kutoka Marekani hasa ili...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Israel Katz amuonya Katibu Mkuu wa Hezbollah Naim Qassem

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz katika ujumbe kwa Katibu Mkuu wa Hezbollah Naim Qassem: Utalipa gharama kubwa kwa kufyatua risasi kuelekea Israeli usiku wa kuamkia sikukuu. Hutaishi ili kuiona kesho yako kwa sababu utakuwa ndani kabisa ya kuzimu pamoja na wanachama wengine wa mhimili...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa ulinzi Israel, Katz: Wakazi 600,000 wa Lebanon kusini hawataruhusiwa kurudi kwenye makazi yao tena

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli Katz: amesema; "Wakazi 600,000 wa kusini mwa Lebanon ambao wamehamishwa hawataruhusiwa kurudi hadi usalama wa wakazi wa kaskazini mwa Israeli utakapohakikishwa. Nyumba zote katika vijiji vilivyo karibu na mpaka wa Lebanon zitaharibiwa. Israeli itaunda eneo la ulinzi...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Israel Katz amemuonya kiongozi wa Iran, Ali Khamenei, kwamba iwapo makombora yataendelea kurushwa kwa Israel, Tehran itaungua.

    Wadau hamjamboni nyote. Live Update arrow right icon From the Liveblog of Saturday, June 14, 2025 Katz: ‘If Khamenei continues to fire missiles at the Israeli home front, Tehran will burn’ By Emanuel Fabian Follow Today, 12:16 pm Defense Minister Israel Katz warns Iran’s leader, Ali...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa ulinzi wa Israel Israel Katz awaonya watawala wa Syria!!

    Waziri wa ulinzi wa Israel Katz anamtaja kwa jina Sharaa wa Syria kuwa ndiye aliyehusika na kurusha roketi, na kuapa 'jibu kamili' hivi karibuni Kufuatia shambulizi la roketi kutoka Syria dhidi ya Israel jioni ya leo, Waziri wa Ulinzi Israel Katz anasema Jerusalem inamwona kiongozi wa Syria...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Yoav Gallant akabidhi ofisi kwa mrithi wake Israel Katz, ajutia hasara waliyoipata vitani pamoja na kushindwa kukomboa mateka

    Wadau hamjamboni nyote? Makabidhiano yamefanyika wizara ya ulinzi Israel. Gallant na Katz ni marafiki wakubwa. Aumizwa sana na hasara ambayo Israel imepata kupitia vita hii pamoja na kushindwa kuwakomboa mateka Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: ========== Israel Katz formally replaces...
Back
Top Bottom