israel in gaza

The Gaza–Israel conflict is a localized part of the Israeli–Palestinian conflict beginning in 1948, when 200,000 Palestinians fled or were expelled from their homes, settling in the Gaza Strip as refugees. Since then, Israel has fought 15 wars against the Gaza Strip. The number of Gazans reportedly killed in the most recent 2023-2024 war — 37,000 — is higher than the death toll of all other wars of the Arab-Israeli conflict.
Israel fought three wars in the Egyptian-administered Gaza Strip: 1948 Palestine War, the first occupation of Gaza during the Suez Crisis, and the capture of Gaza in 1967. During the first occupation, 1% of Gaza Strip's population was either killed, tortured or imprisoned by Israel. Following two periods of low-level insurgencies, a major conflict between Israelis and Palestinians erupted in the First Intifada. The 1993 Oslo Accords brought a period of calm. But, in 2000 the Second Intifada erupted. Towards the end of the Second Intifada, Israel disengaged from Gaza in 2005, Hamas won the 2006 election and seized control of Gaza in 2007.
In 2007, Israel imposed a land, air and sea blockade of the Gaza Strip, turning it into an "open-air prison". The blockade was widely condemned as a form of collective punishment, while Israel defended it as necessary to stop Palestinian rocket attacks. Hamas considered it a declaration of war. A 2008–2009 Israeli invasion of Gaza resulted in more than 1,000 deaths and widespread destruction of homes, schools and hospitals.
A 2012 Israeli operation also killed more than 100 people.
In 2014, Israel invaded Gaza in a major war that resulted in the deaths of 73 Israelis (mostly soldiers) and 2,251 Palestinians (mostly civilians). The invasion resulted in "unprecedented" destruction, damaging 25% of homes in Gaza city and 70% of homes in Beit Hanoun. After 2014, notable events in the conflict included the "Great March of Return" (2018-2019) and clashes in November 2018, May 2019 and November 2019. The 2021 crisis saw 256 Palestinians and 15 Israelis killed.
On October 7, 2023, Palestinian militants attacked Israel, killing 1,143 people (mostly civilians) and beginning the Israel–Hamas war. Israel responded by bombing the Gaza Strip and launching an invasion that has killed more than 34,000 Gazans as of April 2024.

View More On Wikipedia.org
  1. Echolima1

    Israel yawataka Hamas kuurudisha Mwili wa Joshua Mollel

    Joshua Mollel, mwanafunzi wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 21, alikuja Israel kusomea kilimo, sio kuchinjwa na magaidi wa Hamas. Walimuua tarehe 7 Oktoba, waka unajisi mwili wake, na kuteka nyara hadi Gaza. Hamas lazima waachilie mwili wa Joshua sasa. Familia yake inataka tu kumpa mazishi...
  2. ELI COHEN

    Viongozi wa Hamas wakila bata Qatar

    Hivi ndivyo viongozi wa Hamas walikuwa wakila mboga saba kutokana na pesa za misaada halafu wakija Al Jazeera wanatunga kuwa Israel wanasababisha njaa
  3. R

    Watu 15 wakiwemo Waandishi wa Habari 4 wamepoteza maisha kwenye Mashambulizi ya Israel Hospitali ya Nasser, Gaza

    Kwa mujibu wa taaifa kutoka shirika la habari la Reuters Mashambulizi ya anga ya Israel katika Hospitali ya Nasser, Gaza leo Agosti 25, 2025 yameua watu 15, wakiwemo waandishi wa habari wanne, mmoja wao akiwa ni mfanyakazi wa shirika la Reuters Cameraman Hussam al-Masri muandishi wa Reuters...
  4. kimsboy

    Israel yavamia makazi ya Wakristo na kuchoma kila kitu!!

    Israel wanaweza kufanya lolote na kwa mtu yoyote lakini kuna misukule watakuambia ni wateule, halafu cha kushangaza ni waafrika tu ndo wanasemaga hiyo kauli. ======= An entirely Christian town was burned down by Jewish settlers in the West Bank. Palestinian Christians, the first Christians in...
  5. MK254

    Uingereza pia yapeleka vifaa vyake vya kijeshi Mashariki ya Kati. Huu ndio mwisho wa Iran?

    Baada ya Marekani kuanza kusogeza madude kuelekea karibu na Iran, haya Uingereza nao pia wameanza maandalizi, makobaz mumeonywa siku nyingi muache ugaidi, muishi kwa amani na dunia ila mlishipaza shingoni, Israel imesambaratisha uwezo wa Iran kuzuia makombora, Sasa muda wowote tutashuhudia Iran...
  6. Echolima1

    Ndege vita za Israel zaanza kupiga Jaramba kuelekea Iran!

    Ripoti kutoka Iran: Ndege kadhaa za Jeshi la Wanahewa la Israel zilionekana karibu na mpaka wa Syria na Iraq. Ndege hiyo ilikaribia umbali wa kilomita 640 kutoka mpaka wa Iran kabla ya kurejea nyuma. Kulingana na tathmini, ilikuwa ndege hizo zilikuwa kwenye mazoezi ya masafa marefu! “My...
  7. Echolima1

    Greta Thunberg Mtalii aliyejivika utoa misaada wa Gaza baada ya kutaka kukamatwa yeye na wenzake walizitupa simu zao baharini.!

    Greta Thunberg yule mtalii aliyejivika utoa misaada huko Gaza baada ya kuona askari wa Israel wanataka kuingia kwenye mtumbwi wao huo walianza kuhamasishana kutupa simu zao baharini, baada ya kuona hivyo kulikuwepo na wazamiaji walijitosa kuzitafuta hizo simu chini ya maji. Swali la kujiuliza...
  8. S

    Wapalestine 26 wameuawa na maelfu kujeruhiwa katika kituo cha usambazaji wa misaada Kusini mwa Gaza

    Angalau Wapalestina 26 wameuawa na maelfu wamejeruhiwa baada ya vikosi vya Israel kufungua moto Jumapili karibu na kituo cha usambazaji wa misaada kusini mwa Gaza kinachosimamiwa na msingi wenye utata unaoungwa mkono na Marekani, kulingana na Shirika la Msalaba Mwekundu la Palestina na hospitali...
  9. Webabu

    Misri na Jordan zinashindwa vipi kuilazimisha Israel ifungue mpaka watu wapate chakula ili wasife

    Tunajua Misri na Jordan zina makubaliano yasiyo na faida yoyote kwao.Hata hivyo makubaliano hayo hayahusiani na kuua watu wa Palestina. Baada ya kuua kwa karibu miaka miwili ni zamu yao kuiambia Israel isiwaue watu wa Gaza kwa kuwazuilia chakula ambacho kinaoza mipakani kwa takriban mwezi wa...
  10. Webabu

    UN na AL HAQ wamepata uthibitisho kuwa Israel inawaua wanawake na watoto kwa makusudi ili kufuta jamii ya kipalestina

    Maonyo ya kuwa Israel haipigani tena na Hamas bali ni dhidi ya wapalestina wote yalitolewa zamani na taasi za umoja wa mataifa na taasisi nenginezo za kijamii Uthibitisho huo sasa umepatikana kwa kuhesabu aina ya walengwa na waliokufa katika mashambulizi 36 ya karibuni yaliyofanywa na majeshi...
  11. Webabu

    Wakristo wote duniani wangekuwa kama Antonio Gueteres basi kusingetokea vita vibaya kama Gaza..

    Habari za waislamu hasa wa jamii ya kiarabu tuziwache pembeni kwanzo,kwani matatizo yao ni mengine kabisa. Ama kwa wakristo duniani basi wangekuwa wanajitambua vizuri basi wangemuiga katibu mkuu wa UN. Katibu mkuu huyo alizaliwa mwaka 1949 na ni raia wa Ureno akiwa ni mfuasi wa dini ya...
  12. I

    Ikiwa Israel ataendelea kufanya mashambulizi Gaza bila ukomo, ni kipi kitatokea

    Habari za wakati huu ndugu na jamaa popote mnakopatikana. Leo baada ya kusoma habari ya vifo vya watu takribani 46 huko Gaza baada ya shambulizi la Israel kuna maswali nimejiuliza hapa ambayo ningependa kupata majibu kwa mwenye kujua. Toka mwaka 2023 kumekuwa na mapigano kati ya jeshi la...
  13. Webabu

    Marekani na Israel wamejitwisha mzigo ambao sasa unawaelemea. Mgongoni hawataki ubaki na kuutua hawawezi

    Mzigo wa kupambana na Hamas awali ulionekana ni rahisi sana na kwamba kazi ingeisha mapema.Hali imebadilika katika mpindo wa U. Baada ya takriban miaka 2 mzigo umewachosha sana.Umekuwa kama mzigo wa tego unaoganda kichwani kwa mwizi. Uongozi wa Israel ungependa ione Gaza yote ni nyeupe kabisa...
  14. Webabu

    Picha kama hizi zamani zilitisha. Kwa sasa ni kawaida. Hata watoto hawaziogopi

    Huu ndio uhalisia ulivyo huko Gaza ambako mama badala kubembeleza watoto wao wapendwa na kuwanyonyesha wao huwa wanalia wakiagana nao .Innaa Lillaah wainna ilayhi raajiuun.
  15. Echolima1

    Msako mkali wa toyota pick-ups unaendelea huko gaza na vitongoji vyake

    Magari aina ya Toyota Pick-Up ya Red-cross yaliyotolewa kwa ajili ya zoezi la ubadirishanaji Mateka na baada Magaidi wa Hamas kuyang’ang’ania na kuanza kuyatumia kwenye shughuli za kigaidi leo Jeshi la anga la Israel limeyaangamiza 20 na mengine bado yanasakwa popote yalipo huko Gaza!!
  16. U

    IDF yafanya shambulizi kwenye hospital ya Nasser na kumuua waziri mkuu mpya wa Hamas Ismail Barhoum huko Gaza

    Wadau hamjamboni nyote? Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, amesema kwamba rasmi wa Hamas aliyekuwa akilengwa, Ismail Barhoum, alikuwa waziri mkuu mpya wa Gaza. Katz alithibitisha kuwa Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) "limefanikiwa kumuangamiza" Barhoum katika shambulio lililofanyika...
  17. hamis77

    Picha za Gaza ilivyo sasa na Gaza ilivyokuwa awali

    Trump alisema Gaza imekuwa kuzimu, hakufai kwa maisha ya mwanadamu. Hamas wanasifiwa na wajahidina wasiofikiria kwamba wameshinda vita. Je huu ndio ushindi sasa walioupata mbele ya Israeli?. Hamas wamefanya 60% ya mji wa Gaza kuwa magofu na maganjo. Na 40% imekuwa kama mashamba. Gaza ina vilema...
  18. Echolima1

    Sasa rasmi: Askari wa miguu (Infantry) wa Israel wako ndani ya Gaza tayari kwa kazi

    Askari wa ISRAEL sasa hivi waka katikati ya Gaza tayari kuanza kazi ya kuwanyoosha magaidi wa Hamas kama ilivyo ada askari hao wako huko kwa ajili ya kuwatokomeza Hamas,Kuwarudisha mateka nyumbani wakiwa wazima au wafu na kuifanya Gazanisiwe tishio tena kwa Israel
  19. Bams

    Kukosekana Kwa Huduma za Afya Gaza, Vifo Vyaongezeka Kwa Kasi, Mpaka Sasa Vifo 400, na Vinaendelea Kuongezeka.

    Shambulio la kijeshi la Israel dhidi ya Hamas, lililofanyika alfajiri la leo, shambulio moja, moaka sasa vifo vimefikia watu 400, wakiwemo maafisa wa juu wa Hamas. Majeruhi ni zaidi ya 500, na madaktari wanasema, kila dakika kuna majeruhi anakufa kwa kukosa huduma. Shambulio hilo la Israel...
  20. Echolima1

    Israel wafanya shambulizi jipya Gaza na kuua watu 300

    Wakuu, Jeshi la Israel limefanya mashambulizi makubwa Gaza, likisema linashambulia ngome za Hamas. Wizara ya Afya ya Hamas imeripoti vifo vya watu 330. Mashambulizi yalianza alfajiri wakati wa daku, yakilenga Gaza City, Rafah, na Khan Younis. Israel imesema operesheni hiyo ni kujibu kukataa...
Back
Top Bottom