isihaka mchinjita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PostGE2025 Isihaka Mchinjita: Watu kufikiri jeshi kuchukua nchi ni kugota kifikra

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo - Bara, Isihaka Mchinjita, jana Januari 15, 2026, ameendelea na ziara yake ya kikazi kwa kukutana na Viongozi pamoja na Wajumbe wa jimbo la Tanga Mjini. Katika mkutano huo, alizungumzia matukio yanayohusiana na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29...
  2. W

    GE2025 Polisi yeleza Sababu ya kukamatwa kwa Isihaka Mchinjita ni kufanya maandamano yaliyozuiliwa, yamwachia kwa dhamana

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi limetoa taarifa kwa umma kufuatia kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita. Pia Soma GE2025 - Makamu Mwenyekiti ACT Wazalendo Isihaka Mchinjita Akamatwa na Polisi Baada ya Uzinduzi wa Kampeni === 07/09/2025 TAARIFA KWA UMMA Tarehe...
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Makamu Mwenyekiti ACT Wazalendo Isihaka Mchinjita Akamatwa na Polisi Baada ya Uzinduzi wa Kampeni

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Bw. Isihaka Mchinjita, amekamatwa na Jeshi la Polisi, akitokea kwenye Uzinduzi wa Kampeni ambayo imezinduliwa leo katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mpilili. Kukamatwa kwa Mchinjita kumeambatana wasaidizi wake wa chama hicho huku mabomu ya machozi...
  4. Just Pray

    GE2025 Isihaka Mchinjita kuhusu Luhaga Mpina, asema ACT Wazalendo inawakaribisha watu wote waliokosa fursa kwenye vyama vyao

    Wakuu Makamu Mwenyekiti ACT-Wazalendo Bara, Mheshimiwa Isihaka Mchinjita, kupitia mahojiano na kipindi cha Supa Breakfast, amegusia uvumi unaosambaa mitandaoni kuhusu Mbunge wa zamani wa Kisesa, Luhaga Mpina kujiunga na ACT Wazelendo na kusema wanamkaribisha wakati wowote.
  5. Waufukweni

    GE2025 Mchinjita: Raia kuokotwa kwenye mabasi mchana kisha wakafa, halafu Serikali iseme ni Wasiojulikana, hiyo ni Serikali au Takataka?

    Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita amesema, "Unapofika mahala una Serikali ambayo raia wake wanaweza kwenda kuokotwa kwenye mabasi mchana kisha wakafa, halafu Serikali inasema walioua ni watu wasiojulikana — hiyo ni Serikali au takataka?" "Haijawahi kutokea duniani kote...
  6. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Isihaka Mchinjita: ACT tukichukua nchi Tanganyika Packers Kawe halitokuwa eneo la Mwamposa kuombea watu wapate kazi

    Makamu Mwenyekiti wa ACT - Wazalendo isihaka mchinjita anasema iwapo watashinda kiti cha Urais, jambo la kwanza hawataligeuza Eneo la Tanganyika Packers Kawe kuwa eneo la Mtume Mwamposa kuombea watu wapate kazi bali watarejesha viwanda vilivyokufa na kutengeneza vipya ili watu wengi zaidi wapate...
  7. Roving Journalist

    PreGE2025 Isihaka Mchinjita: Watu wa UDART wamevunja simu na kulazimisha Waandishi wafute taarifa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita akielezea kilichotokea akakamatwa na Jeshi la Polisi, leo Mei 23, 2025 baada ya kuingia kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kimara Mwisho kwa lengo la kujionea na kukagua adha ya usafiri huo. Pia soma ~ Makamu Mwenyekiti wa ACT...
  8. Dalton elijah

    PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa ACT, Isihaka Mchinjita akamatwa na Polisi kwa kutembelea na kukagua Kituo cha Mwendokasi Kimara Mwisho

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Isihaka Mchinjita amekamatwa na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo (Mei 23, 2025) baada ya kuingia kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kimara Mwisho kwa ajili ya kujionea adha ya usafiri huo. Mchinjita aliyeambatana na Waandishi wa Habari muda huu yeye na...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mchinjita: ACT ni chama kinachokua kwa kasi hapa nchini kuliko chama chochote

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita, amesema chama hicho kinapiga hatua kubwa kwa kasi isiyopimika, huku akidai kuwa serikali kwa kukosa utashi wa kisiasa wa kukuza demokrasia nchini. Akizungumza Jumatatu katika maadhimisho ya miaka 11 ya kuzaliwa kwa chama...
  10. ACT Wazalendo

    PreGE2025 Mchinjita: Tunataka mabadiliko, Kassim Majaliwa usituhadae!

    Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Bwana Isihaka Mchinjita ameshangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoitoa bungeni kuwa hali ya demokrasia nchini imeimarika. Akizungumza na vyombo vya habari leo Aprili 10, 2025, Mchinjita amesema hotuba ya Waziri Mkuu Bungeni ilitarajiwa kutoa...
Back
Top Bottom