iran

  1. JamiiForums Tanzania Muandamanaji ahukumiwa kunyongwa Iran, atuhumia na kosa la kuwa 'adui wa Mungu'

    Atanyongwa kwa kuandamana, kosa lenyenye wanaliita "moharebeh" (enmity against God)', au adui wa "mungu". Hata hivyo maandamano yako pale pale. Acourt in Iran has issued the first death sentence to a person arrested for taking part in the protests that have engulfed the country, state media...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Mkandarasi wa CIA kilicho leta majonzi kwenye utawala Iran

    Katika hali isiyo ya kawaida Jeshi la Marekani lilipata pigo la mwaka ndani ya ardhi ya Iraq baada ya mmoja wa watu muhimu sana ndani ya Jeshi lake kuuwawa ktk tukio ambalo lilifanya USA kumualika rafiki yake wa Israel kusaidiana kuteguwa kitendawili maana mtu alie kuwa ameuwawa sio tu alikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Hadi sasa Iran imeua raia 328 na kukamata 14,825 katika kuzuia maandamano dhidi ya duluma za kidini

    Maandamano yanaendelea, raia wa Iran wamekubali kuendelea kuuawa na serikali yao inayopambana kumpigania "mungu" wa waislamu. Hii yote ilitokana na tukio la mwanamke kuuawa kisa kipande cha nywele kilichomoza kwenye buibui kinyume na dini inavyoamrisha. Protests in Iran raged on streets into...
  4. JamiiForums Tanzania Mrusi ame update drone za Iran kamikaze

    Ni drone maarufu kamikaze au suicide drone ,wapinzani walivyosikia walichukulia vitu vidogovidogo sana,genius engineer wa Russia wakajifungia waka study wakaviongezea uwezo hasa katika final target and impact.
  5. JamiiForums Tanzania Iran: USA siyo 'Invincible' kama inavyoaminishwa

    Unyakuzi wa ubalozi wa Marekani mwaka 1979 unaonyesha kuwa nchi hiyo inaweza "kupenyeka," Ayatollah Ali Khamenei amesema. Marekani siyo “invincible” kama inavyoweza kuonekana, Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei aliwaambia wanafunzi siku ya Jumatano kabla ya kile kinachoitwa Siku ya...
  6. JamiiForums Tanzania Iran inajiandaa kuvamia Saudia, ila Marekani wamesema thubutu kinuke

    Iran wanataka kudiriki kuvamia kule ambako ndiyo chimbuko la dini ya Mwarabu, japo Marekani wamesema watailinda Saudia kwa vyovyote vile. ========= Saudi Arabia has shared intelligence with American officials that suggests Iran could be preparing for an imminent attack on the kingdom, three...
  7. JamiiForums Tanzania Rial ya Iran yapoteza sana kwa dollar, haijawahi kushuka kiasi hiki

    Iran inapitia hali ngumu sana, Iran's currency dropped to its lowest value against the dollar on Tuesday, after weeks of nationwide unrest roiling the country. A stalemate in negotiations to revive Tehran's nuclear deal with world powers has also weighed heavily on the rial. Traders in Tehran...
  8. JamiiForums Tanzania 15 wauawa kwa risasi Iran

    Hii yote wanampigania 'mungu' na uislamu... At least 15 people have been killed and 10 others injured in an attack at the Shah Cheragh mausoleum in the Iranian city of Shiraz, state media report. Three armed men entered the shrine at 17:45 (14:15 GMT) and opened fire at pilgrims, the Irna news...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Pentagon yakiri droni za Iran ni "pasua kichwa" kwa Ukraine, USA🇺🇸 na NATO, hakuna 'kinetic interceptors' za kuzidungua!

    Pentagon yakiri kuwa droni zinazonasibishwa na Muajemi (Iran) zimekuwa "pasua kichwa" kwa Ukraine, US na NATO kwa ujumla. Afisa mwandamizi wa Pentagon amesema droni hizo zinachoma vibaya magarivita ya NATO yaliyopelekwa Ukraine (armored vehicles), mifumo ya ulizi wa anga, mikusanyiko ya...
  10. JamiiForums Tanzania Israeli yapiga bomu kiwanda cha kutegeneza drones cha Iran

    Safi sana, Israeli hajawahi kuchelewa kufanya yake kwa mnyonge wake Iran......takbirrr The operation that assembled Iranian drones was destroyed in the Israeli missile attack on Syrian territory on October 21, the U.K.-based Syrian Observatory for Human Rights (SOHR) reported today. “According...
  11. JamiiForums Tanzania Jamaa wa Iran kanikaribisha nikatalii nchini kwao akisema nikiwa na Usd 100 nitaishi kama mfalme

    Naomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
  12. JamiiForums Tanzania Wananchi Iran waendelea kuandamana dhidi dhuluma za kidini

    Serikali inaendelea kuua wananchi wake kama jitihada za kumpigania "mungu" na uislamu....japo wananchi wamechachamaa, masuala ya kidini waachiwe kila mmoja ajiamulie, sio mwanamke anauawa kisa kipande cha nywele kimejichomoza. ================== Acity in Iran that was the scene of a bloody...
  13. JamiiForums Tanzania Iran ni nchi ya maajabu sana

    Wakuu vipi, kwema. Wakuu Iran ni mmoja kati ya nchi ambazo ziliwekewa vikwazo vikali na nchi za magharibi toka mnamo mwa miaka ya 70s huko hadi leo hii na siku zijazo. Vikwazo hivyo ni vya kiuchumi, kijeshi nk, tena vimekuwa vikiongezwa siku hadi siku. Tofauti na ilivyo kwa nchi nyingine kama...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Polisi wa Ukraine wapiga chini drone ya Iran kwa risasi

    Hizo wameshazijulia hamna kitu humo; mrusi akaombe teknolojia nyingine "mpya" kwa madikteta wengine - NK, then Nicaragua, Venezuela, kisha amalizie Belarus. Hope atakuwa ameshinda vita. Zilitumwa nyingi kama panya washambuliavyo mashamba msimu mbaya ila dawa imepatikana; hata kwa manati...
  15. JamiiForums Tanzania MOSSAD yawaua maofisa wake sita kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na Iran

    MOSSAD imeua maafisa wake sita wa intelijensia kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na Iran Utawala wa Israel umewaua maafisa wake sita muhimu kufuatia kufeli operesheni ya shirika lake la ujasusi Mossad ya kufanya hujuma na uharibifu kwenye kituo kimoja cha viwanda mkoani Esfahan nchini Iran...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mataifa takriban 30 ya NATO yanakwama wapi kummaliza Urusi? Wanabaki kulialia tu eti drones za Iran!

    Ukweli ni kwamba mataifa lukuki kwenye umoja wa NATO ambao wanaisaidia Ukraine kwa hali na mali wameshindwa vibaya! Kwanza waliweka vikwazo kwa maelfu na walitarajia Urusi itakwama fasta!! Maana walidhani vikwazo vyao ni sawa na kumfunga mikono wakati yuko vitani! Kinyume chake vikwazo...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wa Iran kwa Urusi kumponza, Ulaya waanza kujadili cha kufanya

    Uzalendo ulishinda Iran ikaamua kutoa msaada kwa Urusi ambayo inachezea kichapo, ila sasa huo msaada utaiponza Iran maana EU waanza kujadili watakachoifanyia Iran, ikiwemo vikwazo kwa makampuni ya Iran na mambo mengine. Iran wamejaribu kujitetea sana na kukana kutoa msaada wowote ila ndio basi...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Iran na Yemen wamekuwa na mipango ya miaka mingi kulipua Mecca na Medina?

    Nimewahi kufanya kazi na watu wa jamii hizo mbili na wanaichukia sana hiyo miji iliyopo Saudi Arabia? Wanasema kwamba Marekani na Israel ndio zilianzisha utaratibu wa kutembelea hiyo miji ili kukuza kipato cha Saudi Arabia na kuunganisha jamii za mashariki ya kati. Pia wanaeleza utaratibu huo...
  19. JamiiForums Tanzania Askari wa kidini Iran waanza kuingia kwenye shule za wasichana na kufanya mauaji kwa wanaoshukiwa kuandamana

    Mapolisi ya kijihadi yanazunguka kwenye shule za wasichana na kutembeza kichapo cha mbwa kwa vibinti huku wakisababisha mauaji, hii yote kisa wanampigania "mungu" na uislamu.... Huku mayatollah yakiendelea kulaumu Marekani na Israel.... Security forces are increasingly raiding schools and...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanariadha mwanamke wa Iran apokelewa kwa shangwe ila wapo wanaomsubiri kwa kutositiri nywele

    Alipambana na kukamilisha mchuano nywele zikiwa nje akiwa huko Korea, sasa amegeuza nyumbani Iran na kupokelewa na maelfu ya wananchi amao wamechoka dhuluma za kidini, ila pia majihadi yanamsubiri hivyo maisha yake yako hatarini.... Iranian competitive climber Elnaz Rekabi received a hero's...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…