iran

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mambo yalikuwa ni magumu sana kwa Iran awamu ya Trump. Walibanwa kisawasawa, wanaombea Kamala aendelee kuwapa ulaji baada ya Biden

    Iran ilikuwa dhaifu na imefilisika awamu ya Trump, Iran imekuwa tajiri na yenye jeuri ya pesa za kufadhili vikundi vya kigaidi awamu ya Biden. Trump aliiwawekea vikwazo vikali mno Iran ili wasiuze mafuta, Mkakati huu uliwafanya Iran wawe wamenyongonyea kiuchumi, Hawakuwa na nguvu wa la jeuri...
  2. JamiiForums Tanzania Iran yasema ndio imeipelekea makombora Urusi.Vile vile imeshawapatia Hezbollah silaha yake kali ya EMP inayopiga mifumo ya kusambazia umeme.

    Habari za kijasusi za Marekani kwamba Iran wameisambazia Urusi makombora ya masafa mafupi zitakazotumika katika vita na Ukraine, sasa si siri tena baada ya mbunge wa Iran na mjumbe wa kutunga sera za kiulinzi kusema ni kweli wameshaipatia Urusi silaha hizo. Akiweka wazi hatua zao hizo,mbunge...
  3. JamiiForums Tanzania Iran na Uturuki kuunda meli ya kubebea droni kuzipiku meli za kubebea ndege za kivita za Marekani, Urusi na China

    Mataifa ya Uturuki na Iran yapo mbioni kutengeneza meli kubwa za kijeshi zitakazobeba droni kushambulia adui badala ya zile meli zilizozoeleka na zinazohofiwa ambazo huwa zinabeba ndege za kijeshi kama vile F-16 na F 35. Tofauti na meli za kubebea ndege za kivita,meli hizo zao la ubunifu wa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mnamkumbuka Ayatollah Khomeini, kiboko ya Shah wa Iran?

    Hiyo hapo video yake mwamba huyo mwana mapinduzi na mwanzilishi wa Iran Theocratic Regime https://youtu.be/60MC3bVFG6s?si=TZSCPGdLL__fbT5t
  5. JamiiForums Tanzania Israel assassinates another Iran official, then commences "Pre-emptive attacks" against Hezbollah in Lebanon

    ISRAEL ASSASSINATES ANOTHER IRAN OFFICIAL, THEN COMMENCES "PRE-EMPTIVE ATTACKS" AGAINST HEZBOLLAH IN LEBANON August 24, 2024 Israel has assassinated the head of Iran's KHASH (Intelligence) Agency, in front of his home in Iran, and then commenced "pre-emptive" attacks against Hezbollah in...
  6. JamiiForums Tanzania Israel waomba msaada wa kimataifa kwa Israel dhidi ya Iran na Hezbollah

    Wanaukumbi. Hezbollah wanaendelea kushambulia maeneo muhimu ya jeshi ndani ya Israel. 🚨🇱🇧🇮🇱 FM KATZ AWATAKA MSAADA WA KIMATAIFA KWA ISRAEL DHIDI YA IRAN NA HEZBOLLAH Waziri wa mambo ya nje Israel Katz amewaandikia makumi ya mawaziri wa mambo ya nje akitaka kuungwa mkono na hatua za Israel...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kuishambulia Israel, Iran yabadili gia angani..!!

    Ahadi ya Iran ya kulipiza kisasi dhidi ya Israel kwa mauaji ya kiongozi wa kisiasa wa Hamas Ismail Haniyeh mjini Tehran itachukua muda, kwa mujibu wa msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini humo (IRGC). "Wakati upo upande wetu na muda wa kusubiri majibu haya huenda...
  8. JamiiForums Tanzania Kutoka kuvamia hadi kuvamiwa, hii ni fedheha kubwa kwa Russia Super Power kutegemewa na Iran

    Nchi dhaifu kabisa na nchi ndogo kama Ukraine leo hii ndo ya kuivamia Russia? Nani alitegemea haya kutokea? Kwa hali hii, Irani na nchi zingine zinazoiamini Russia na kuweka matumaini kwake kwamba ataweza kuwalinda, waendelee kuamini hivyo? Kwa namna hii, Bado USA ndiye kiranja wa mataifa...
  9. JamiiForums Tanzania Raia milioni moja wa Iran wabadili dini na kuwa wakristo

    Wakuu Serikali ya kiislam ya mapinduzi ya iran haina muda mrefu kwa kua wengi wao hawaamini tena katika dini ya kiislam. Wairan kama mnavyojua ni watu wenye Akili sana.Kwao kuendeshwa kwa kulazimishwa kuvaa hijabu,kufuata sheria za kidini ambazo wengi hawaziamini ni kiu kigumu. Kifupi wairan ni...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais wa Iran kumuomba Ayatollah asiishambulie Israel, Makamu wa Rais kajiuzulu, Vifo vya Rais aliepita na Kiongozi wa Hamas vyaleta hofu

    Kinachoendelea kwa sasa Iran, viongozi wa juu wanapaza sauti wasikike kwamba Israel isishambuliwe, Juhudi hizi zinawasaidia kukwepa kilichowakuta Rais aliepita na Kiongozi wa Hamas akiwa Iran. Wiki iliyopita Rais wa Iran alimsihi sana Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah khamenei asithubutu...
  11. JamiiForums Tanzania Ndege za mizigo za kijeshi za Urusi zinapeleka silaha Iran

    Wanakumbi. ⚠️🚨Ndege kubwa zaidi ya kijeshi ya Urusi ya kubeba mizigo aina ya An-124 imewasili Tehran Ndege hii hapo awali ilipeleka ndege za kivita aina ya Yak-130 nchini Iran miezi michache iliyopita. https://x.com/resistance151/status/1823658374384509124?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  12. JamiiForums Tanzania Iran yakataa wito wa Ulaya kutoishambulia Israel. Kama hawapendi vita wangeilaani Israel kwa mauwaji inayofanya

    Baada ya kuwakatalia watawala wa mashariki ya kati wiki iliyopita kutoishambulia Israel,sasa nchi hiyo imefanya kama hivyo kwa nchi za Ulaya' Raisi mpya wa nchi hiyo na waziri wa mambo ya nje wamezijibu simu wanazopigiwa na wenzao wa Ulaya kwa madhumuni hayo katika matamko makali...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Iran kapiga kwenye mshono bila hata ya vita

    Israel ambaye alikuwa anajisifu yeye ni super power hakuna hata risasi inaweza kupenya, leo hi analia na kupiga kelele Iran anataka kunipiga namba mnisaidie😄 Iran kafanikiwa kushinda vita kabla hajanza, kwa kuyafedhehesha mataifa kama US, UK, France, Germany na Nato kiujumla. Kayafedhesha kuwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Je, unafikiri hii vita ya Iran na Israel itatokea kweli?

    Maoni yangu hii vita haitatokea. The fact kwamba wahasimu hawa wawili, wakiwashirikisha Super Power walio upande wao wamefikia hata kuzungumzia silaha za Maangamizi (kunazungumzwa sasa Nuclear), hii inanifanya nikumbuke Maandiko ya Biblia kuwa Mungu hataacha mwanadamu aiharibu dunia beyond...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel lapiga marufuku marubani wake kusafiri nje ya nchi, yahofia kipigo kutokea Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel limepuga marufuku marubani wake wote kusafiri nje ya nchi hiyo kama tahadhari ya maandalizi ya vita dhidi ya Iran, Hezbollah na washirika wao Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa kikosi cha Anga Meja Jenerali Tomer Bar, Taarifa kamili hapo chini: === Amid...
  16. JamiiForums Tanzania China yasema inaiunga mkono Iran kulinda usalama na heshima yake

    Hapo jana waziri wa mambo ya nje wa China alifanya mazungumzo na waziri mwenzake wa mpito wa Iran ndugu Ali Bagheri Kani na kuweka wazi misimamo ya nchi yake katika mzozo unaofukuta hapo mashariki ya kati. Katika mazungumzo hayo waziri huyo wa China aliweka wazi kuwa kuuliwa kwa kiongozi wa...
  17. U

    JamiiForums Tanzania UTEUZI Jenerali Aziz ateuliwa kuwa Waziri wa ulinzi Iran, rubani wa ndege za kijeshi F-14 Tomcat, aliongoza kikosi cha anga miaka 4

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Kiislamu ya Iran imeamua kujipanga kisawasawa Imefanya uteuzi wa kihistoria Jenerali Aziz amekabidhiwa rasmi kuongoza wizara ya ulinzi ya nchini humo. Ni rubani mzoefu mwenye weledi mkubwa na aliongoza kikosi cha anga cha Jeshi la Iran Kwa miaka minne...
  18. JamiiForums Tanzania Iran yakubali ombi la US na Egypt kutoishambulia Israel ili vita visimamishwe

    Nchi kadhaa zimekuwa na hofu kubwa ya mashambulizi makali ya Iran dhidi ya Israel na kupanuka kwa vita katika eneo la mashariki ya kati.Hofu hiyo ni kutokana na kiapo cha Iran kulipiza kisasi kutokana na kuuliwa kwa Ismail Haniye. Miongoni mwa nchi zenye hofu zaidi ya vita hivyo na kwa maslahi...
  19. JamiiForums Tanzania Raisi mpya wa Iran na kiongozi mpya wa Hamas ni wakali zaidi kuliko wenzao waliotangulia.

    Ile kampeni ya kuua viongozi na makamanda wa makundi pinzani kwa utawala wa Israel bado haijaonekana kufanya kazi kama ilivyokusudiwa. Raisi Ibrahim raisi wa Iran alifariki kwenye ajali ya ndege miezi 2 iliyopita.Katika uhai wake hakuwa na mzaha na utawala wa kiyahudi huko Israel.Yeye ndiye...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Iran yadai Israel inapenda kuchochea migogoro na vita nchi nyingine lakini yenyewe Haina Uwezo Wala Nguvu za kuanzisha Vita dhidi yake!

    Iran yadai Israel inapenda kuchochea migogoro na vita nchi nyingine lakini yenyewe Haina Uwezo Wala Nguvu za kuanzisha Vita dhidi ya Iran! Wadau hamjamboni nyote? Siyo maneno yangu hayo ni mapya kutoka Tehran Kwa naibu waziri mambo ya nje Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ALI BAGHER. Naibu waziri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…