iran

  1. JamiiForums Tanzania Je, waarabu hawaipendi Irani au kuna mapandikizi katika nchi zinazoizunguka Iran?

    Ubaya ubwela Saudia,Jordan,Syria,Bahrain n.k nazani hawajui au wanajipumbaza kuwa kila mmoja atafikwa kwa muda wake,inaonekaa Netanyau anaajenda kubwa kaibeba, kila nchi pale Mashariki ya kati itapigwa kwa mda wake. Israel ni taifa mkakati la Marekani dhidi ya jamii ya kiarabu,wao hawajitambui...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea Israel vs Iran na Ukrain Vs Russia nimejifunza mengi. Hawa jamaa hapa pichani hatupo nao tena Duniani. Nimelia sana

    Hawa jamaa hatunao tena hapa Duniyani. Wameenda akhera. Walikuwa wakionesha ukubwa wa irani na silaha za hatari. Wakati huo wapinzani wao wanawalia tu timing. Nikakumbuka na vita ya Ukraine na Russia. Ambayo Russia alisema 7 days atakuwa amemaliza hiyo operation na si vita. Na silaha za kisasa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Iran Urusi na China wameipata teknolojia ya f 35 stealth kiuwepesi kabisa

    Mara baada ya f 35 stealth kudunguliwa sasa Urusi na UChina wataenda kuchukua teknology ya f35 Iran Hii ni Faida kubwa sana kwa Iran,Urusi na UChina Mmarekani hataki kumuuzia yeyote hio f35 zaidi ya Muisraeli huyo Uturuki kanyimwa kuogopa teknolojia itaibwa.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Je, Hezbolah yuko wapi kumsaidia Boss wake Iran?

    Tumeona kwamba Syria alipovamiwa basi hezbolah hawakusita kuingia vitani kumsaidia swahiba wao Assad. vivo hivo Hamas walipoanza kupokea kichapo Hezbolah nao hawakubaki nyuma walianza kufyatua makombora kuendelea miji ya Israel wakisema kwamba hadi Israel atakapoacha kushambulia palestina na wao...
  5. JamiiForums Tanzania Hamas watumia fursa ya vita vya Israel na Iran kuwakimbiza askari wa IDF huko kusini mwa Gaza

    Wapiganaji wa Hamas ambao kwa sasa wanapigana kwa mbinu mbadala baada ya viongozi wao wakuu kuuliwa wameonekana kuja juu katika wiki kadhaa zilizopita na kufanikiwa kuwauwa askari kadhaa wa Israel hasa maeneo ya kusini mwa jimbo la Gaza. Katika matukio ya hivi karibuni ni kuwakimbiza askari wa...
  6. JamiiForums Tanzania Tuwe makini na nguvu ya maneno, kiongozi wa Iran aliwahi kusema Israel ifutwe kwenye ramani ya dunia

    Leo ni siku ya kina baba duniani, mojawapo ya kitu nimeskliza kwenye ibada ya leo ni umuhimu sana wa sisi akina baba kuwa makini sana na kinachotoka midomoni mwetu, maneno hukata kuliko hata mabomu au upanga. Ikumbukwe kuna rais wa Iran aliyewahi kusema anatamani kuona Israel inafutwa kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Hii ni ramani ambayo hata mtoto mdogo anajua Iran hakuna mahala anakwenda

  8. JamiiForums Tanzania Nyie mnaomsema Iran kuwa anapiga popote mnajua backup ya Israel kutoka nchi nyengine?

    Kama hatujui bora tunyamaze ila tutambue kuwa Israel anapata sapoti ya kupita kwenye anga za nchi tofauti na kupiga katika anga la Irani,kama Israel angetumia mabomu ya mbali basi zile system za kuintecept mabomu za Irani zingekuwa vyema na Israel angeshindwa mapema. Israel anafanikiwa kupiga...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Iran ilivyoiingiza mkenge Israel ikadhani kuwa imemaliza ulinzi wa anga wa Iran

    Jana Israel ilijidanganya kuwa imepiga na kumaliza ulinzi wa anga wa Iran na kwa hivyo inaweza kufanya lolote. Kumbe hilo lilikuwa uongo, ni mchezo ambao Iran iliucheza ili kuiingiza mkenge kwa kujifanya ulinzi wake wa anga umekwisha. Kilichofanyika kumbe Iran ina decoys (midoli) ya air...
  10. JamiiForums Tanzania Israel inalalamika kuwa Iran anashambulia raia Je kule Gaza Israel alikua anashambulia Nini?

    Hii Dunia ina unafiki mwingi sana. Leo Israel analalamika Iran anashambulia wanawake na watoto wakati yenyewe hapo jirani Gaza imewaua maelfu ya wanawake na watoto wasiyo na hatia. Nasema hivi Iran usipangiwe na mtu sehemu ya kupiga. Popote unapoona panafaa we tandika tu. Dawa ya mtoto mjeuri ni...
  11. JamiiForums Tanzania Iran yasema Israel ikisitisha mapigo basi itarudi kwenye meza ya mazungumzo ya kuacha manyuklia

    Tatizo nani wa kumwambia Israel aache sasa, yule ni kichwa cha mwenda wazimu, na sasa Iran imefaulu kuua raia wanne Israel, imezidisha hasira kwa Wayahudi. -------------- In a call with his French counterpart Emmanuel Macron, Pezeshkian said Iran favored diplomacy, but will not “accept...
  12. JamiiForums Tanzania Israel yapiga makao makuu ya kijeshi Iran pamoja vituo vya kuzalisha mafuta

    Israel pia imesema Ayatollah atapigwa muda usio mrefu.... The IDF confirmed early Sunday morning striking the Iranian Defense Ministry headquarters as well as the “headquarters of the SPND nuclear project, and additional targets.” Israeli jets also struck fuel depots in the country, the...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kama Iran anataka kupambana na Israel basi awekeze kwenye ujasusi zaidi kuliko makombora na drones

    Tumeona kwa miaka mingi Iran akiwekeza heavily kwenye misile technology na drone technology sababu ndoto yake ni kuja kuvurumusha makomora yenye vichwa vya nyuklia tel aviv na Jerusalem, ila anachosahau ni kwamba adui yake amemzidi kwanye teknologia zote na ujasusi na ushushushu.. Hii...
  14. JamiiForums Tanzania Propaganda katika vita ya ISRAEL Vs IRAN

    Kwene vita Majeruhi wa kwanza wa vita hua ni Ukweli. Mimi technophilic nitafanya kazi ya kuverify Ukweli na Propaganda Unaweza tuma picha au video nikaverify
  15. W

    JamiiForums Tanzania Israel inatumia marubani wa kike kuishambulia Iran, wanawake wakipewa nafasi nao wanaweza !

    Kwa mara ya kwanza Jeshi la Israel walijaribu kutumia marubani wa kike 26 October 2024, waliweza kushambulia kambi ya jeshi la iran, kuua askari wanne na kuharibu mifumo ya ulinzi iliyojaribu kuwazuia , waliweza kufika Tehran kupiga doria na kurudi salama Israel. Round hii wameenda wengi zaidi...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Iran hawapo serious kabisa na mifumo ya ulinzi wa anga, hivi kweli wameshindwa kudungua hata ndege moja ya Israel ?

    Hii sio sasa maana Usrael wanaingia na kutoka kwenye anga la Iran utadhani wanacheza game. Mikwara yote ile tuliyokuwa tunasikia ya mifumo imara ya ulinzi wa anga imegeuka kuwa kama kituko, Hivi kweli ina make sense katika ndege zote hizi zinazokwenda kushambulia Iran hakuna hata moja...
  17. JamiiForums Tanzania Bandari Abbas ya Iran yashambuliwa kwa makombora ndege na Israel

    Ndo bandari kubwa kuliko zote imepigwa ikachakaa.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia movies za Kituruki zilr za Azam utajua ugumu wa Iran kushinda vita. Waarabu huongoza kwa usaliti na unafki

    Hii ni tamaduni ya kiarabu kuongoza kwa usaliti na unafki...Ni rahisi sana Baba wa kiarabu kumzalisha mkwe wake... Ni rahisi sana kuwagombanisha familia za kiarabu kupitia mali... Ndio maana uoana wenyewe kwa wenyew kwenye familia ili tu kwa ubinafsi waliona.. Ndio maana kwenye ya kiislamu...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Iran na Ukraine haziachwi zijiamulie mambo yao wenyewe kwa maslahi yao kama mataifa huru?

    Kwa nini Ukraine na Iran haziachawi zijiamulia mambo yake wenyewe kama kumiliki silaha za nyuklia na kujiunga na jumuiya zinazoona zina maslahi kwao kama mataifa huru?
  20. U

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa IDF: Israel imeipiga Iran bila kusimama kwa saa 40, ikijumuisha zaidi ya malengo 150 Tehran haina kinga tena

    Wadau hamjamboni nyo. te, Msemaji wa IDF: Israel imeipiga Iran bila kusimama kwa saa 40, ikijumuisha zaidi ya malengo 150 Tehran haina kinga tena , Emanuel Fabian Fuata Leo, saa 8:55 mchana Msemaji wa IDF Brig. Jenerali Effie Defrin, katika mkutano na waandishi wa habari, anasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…