iran na marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Lapid: Makubaliano ya Iran na Marekani ni pigo kubwa kwa diplomasia ya Israel

    Wanaukumbi. Kiongozi wa upinzani nchini Israel na waziri mkuu wa zamani, Yair Lapid, amemkosoa vikali Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kufuatia taarifa za kutiwa saini kwa hati ya maelewano kati ya Iran na Marekani. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa X, Lapid alieleza makubaliano...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya makubaliano ya Iran na Marekani kufanikiwa. Italy, UK, France na German zakubaliana kuiondolea vikwazo Iran

    Niaje waungwana Dunia imebadilika aisee. Leo hii zayuni ( Netanyahu ) anaitwa muuaji anaetafutwa kufikishwa kwenye Criminal Court. Wakati nchi hizo zikiondoa vikwazo kwa Iran, hili zayuni liuaji Netanyahu haliwezi kutia mguu wake katika nchi yoyote hapo juu bila kutiwa nguvuni na kukabidhiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Zimetimu Siku 100

    https://youtu.be/X3fwMLuxl1Y?si=rLRYL_eeUQ-SpxJv
  4. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Oman Kushambuliwa na Marekani

    https://youtu.be/9yP5oYnlva4?si=MbMw5u4P2bino_W7
  5. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Imekuwaje Israel Imefunikwa?

    https://youtu.be/IdS3eoAdqhU?si=drTe0Dyah_0mscBF
  6. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Yanayoelezwa na Mitandaoni

    https://youtu.be/Ptjr5nBRPGw?si=nZy37faqqA-UFxu4
  7. JamiiForums Tanzania Trump: Jeshi la wanamaji la Marekani lakamata Meli ya Iran baada ya jaribio la kuvunja utaratibu

    Rais Trump alisema meli ya mizigo yenye bendera ya Iran iitwayo TOUSKA ilijaribu kupenya vizuizi vya majini vya Marekani na ilikamatwa na meli ya USS Spruance katika Ghuba ya Oman. Baada ya kukataa amri ya kusimama, meli hiyo ilidhoofishwa na sasa iko chini ya udhibiti kamili wa Marekani, huku...
  8. JamiiForums Tanzania Iran yafunga tena Mfereji wa Hormuz, yaituhumu Marekani kwa “uharamia baharini”

    Hali ya sintofahamu imeongezeka katika Mlango-Bahari wa Hormuz baada ya Iran kutangaza kuwa imerudisha udhibiti wake katika njia hiyo muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani. Tangazo hilo limetolewa na jeshi la Iran kupitia amri yake ya operesheni, Khatam Al-Anbiya. Katika taarifa hiyo, Iran...
  9. JamiiForums Tanzania Pata bure mfumo wa bulk SMS, API na msg za trial.

    Ni sisi ONFON MEDIA pekee ambao tunakupatia mfumo wa BULK SMS bure, tunafanya API buree, na tunakupatia msg za majaribio buree. Pale utakapokuwa tayari kununua msg kwajili ya matumizi yako utashangaa zaidi, kwani gharama zetu ni nafuu kulinganisha na popote pale. Sisi ndiyo tunawauzia hao...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Putin kashindwa kufanya kwa Zelenskyalichofanyiwa Ayatollah wa Iran na Marekani?

  11. JamiiForums Tanzania Ni kichaa pekee anaweza kulinganisha uwezo wa Iran na Marekani kivita

    Ukweli ni kwamba uwezo wa Iran kivita unapaswa kulinganishwa na vinchi kama UAE, Egypt, Palestine na vinchi vingine vya kipuuzi.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Iran yasimamisha mauaji ya waandamanaji walihukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa hofu ya kushambuliwa na Marekani

    Kufuatia Agizo la dikteta Ayatollah kuwa kesi za waandamanji waliokamatwa ziende haraka na wahalifu wapate adhabu wanayostahili, zoezi la kuwanyonga waandamanaji waliokuwa wamekamatwa lilitakiwa lianze leo nchini kote. Kutokana na taarifa hiyo Marekani ilijiandaa kuingilia kati kijeshi mara...
  13. JamiiForums Tanzania Iran ilionywa iache kuua raia, ikashupaza shingo. Marekani waagiza jeshi lake liondoke Qatar

    Baadhi ya wafanyakazi wameelekezwa kuondoka katika kambi ya kijeshi ya Marekani ya Al Udeid nchini Qatar ifikapo jioni ya Jumatano, kwa mujibu wa ripoti ya shirika la habari la Reuters lililonukuu wanadiplomasia watatu. Ripoti hiyo inakuja wakati Marekani ikitoa onyo kuwa inaweza kuingilia kati...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Marekani inachunguza matumizi ya nguvu dhidi ya waandamanaji Iran

    Marekani imesema itaingia mzigoni ikiwa itabainika kwa mapolisi wa Iran waliua waandamanaji kwa makusudi. https://www.instagram.com/p/DTAREQjgYoa/?igsh=MWRnM2d2bnEzeXluZA==
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…