Ni sisi ONFON MEDIA pekee ambao tunakupatia mfumo wa BULK SMS bure, tunafanya API buree, na tunakupatia msg za majaribio buree.
Pale utakapokuwa tayari kununua msg kwajili ya matumizi yako utashangaa zaidi, kwani gharama zetu ni nafuu kulinganisha na popote pale.
Sisi ndiyo tunawauzia hao...
Kufuatia Agizo la dikteta Ayatollah kuwa kesi za waandamanji waliokamatwa ziende haraka na wahalifu wapate adhabu wanayostahili, zoezi la kuwanyonga waandamanaji waliokuwa wamekamatwa lilitakiwa lianze leo nchini kote. Kutokana na taarifa hiyo Marekani ilijiandaa kuingilia kati kijeshi mara...
Baadhi ya wafanyakazi wameelekezwa kuondoka katika kambi ya kijeshi ya Marekani ya Al Udeid nchini Qatar ifikapo jioni ya Jumatano, kwa mujibu wa ripoti ya shirika la habari la Reuters lililonukuu wanadiplomasia watatu.
Ripoti hiyo inakuja wakati Marekani ikitoa onyo kuwa inaweza kuingilia kati...
Marekani imesema itaingia mzigoni ikiwa itabainika kwa mapolisi wa Iran waliua waandamanaji kwa makusudi.
https://www.instagram.com/p/DTAREQjgYoa/?igsh=MWRnM2d2bnEzeXluZA==
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.