Bei ya mafuta ghafi imepanda kufikia kiwango cha juu zaidi tangu Januari mwaka huu, baada ya Marekani kushambulia vinu vya nyuklia vya Iran.
Soma, Pia: Mafuta ghafi yapanda bei baada ya Iran kushambuliwa
Kuna hofu kuwa huenda bei hiyo ikapanda zaidi endapo Iran itafunga lango la Hormuz kama...