Mida hii natoka job of course ni weekend so nikajipitisha mitaa ya tegeta nakuta Bei ya nyama ya ng'ombe imepanda kutoka 7000-8500 nikakakausha nikajua mbezi Bei itakuwa pungufu.
Nafika mbezi jirani kabisa na home ambapo huwa nanunua nikakuta Bei imepanda na wao wanauza8500 nilivyouliza...