Mwanaharakati Cyprian Musiba amedai kuwa kuna watu wasiokuwa na nia njema ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikalini, akiwataja kama "wahuni." Musiba ameongeza kuwa mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, amejitokeza kama mkosoaji ndani ya Serikali, akisisitiza kuwa si lazima wakosoaji wote watoke...